mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Big up ya nini hapa? Kumsimamisha mtu kazi ilhali anaendelea kupokea mshahara wake kamili si jambo la kupongezwa, ni hasara kwa serikali inamlipa mtu bila kufanya kazi yeyote ile na hata hatujui ni kwa muda gani. Ningelimpa big up kama angelimsimamisha bila malipo au kumuachisha kazi moja kwa moja.Mama kachachamaa wapigaji wote na majizi yote awamu hii ya mama watakoma, big up Mheshimiwa.
Danganya toto tu hizo, alitumbua then? Tumia hizo fikra zako unazoziona ni ndefu kufikiri. Kila siku ilikuwa ni tumbua tumbua tu, kwa kiongozi mwenye dira ilipaswa akae na ajitafakari anakosea wapi ili arekebishe maana wateule wake walikuwa reflection yake.Mbona Magu alikuwa anateuwa na kutumbua wasipotekeleza wajibu!!? au hili swala umelisahau.....kwa ufupi wa fikra zako
Hayati hakua analea mwizi yeye ndio alikua anaiba kupitia wao,liko wazi hiloSamia angeweza hata kumtumbua Magufuli kwa jinsi alivyokuwa akilea wizi
Watu wanafurahia ripoti imegusa vitu muhimu sana na mama kakazia kuwa haya mashirika yachunguzwe na CAG asiogope ili waweze kuyafanyia maamuzi sahihi. Huoni kuwa hilo ni jambo la kufurahi?Ripoti ya 2019/2020 lakini wanavyopiga kelele..!!
Alisema tokea jana,hata mimi nimechoka sasa huyu nani?Alisemaje?
hao maccm wanajifanyaga hawampendi eti msaliti kumbe anawaanikaHapo ndio utamkubali Kigogo, maana alishasema
View attachment 1736493
Jana vitasa vya ofisi ya huyu kibaka kiburi vilibadilishwa ili asiweze kuingia ofisini kuharibu taarifa. Natamani na ofisi ya Dotto James nayo ivamiwe leo. Ili tujue pesa alizo kuwa ana mlipa Musiba alikuwa anazitoa kutoka fungu gani. Hawa ngosha wakituhujumu mnoo!!!Ukiangalia jinsi rais alivyomsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TPA ni uamuzi aliouchukua hapohapo baada ya kusomewa ripoti na CAG,sasa huyu kigogo alijuaje???..au kulikuwa na mipango ya mkurugenzi kutimuliwa kabla ya ripoti kusomwa??..huenda huyu kigogo anafanya kazi vizuri kabisa na serikali,baadhi ya viongozi wakubwa serikalini bila mzee pombe kujua..yaani rais alikuwa anazungukwa na wateuwa wake kwa maslahi Fulani!..
Huyo mama yenu ndiye alikuwa mshauri number moja wa Magufuli, yeye hakuyaona hayo mambo akamshauri boss wake?Ndio maana tulikuwa tunasema awamu ya meko ina wapiga dili kibao kuliko hata awamu ya kikwete.
Ndio awamu iliyojaa vibaka kuliko zote,walijiita watetezi wa wanyonge kumbe ndio wanawamaliza wanyonge washindie ujiTuliaminishwa kuwa awamu ya 5 hakuna wwpigaji
Tuliaminishwa shirika la ndege linaingiza faida mpaka kufikia kutoa gawio kumbe ni hasara tupu
Mbona hii post ya kigogo ni ya leo March 28 saa 5 na dk 17...sema ka ipost in a such a way ionekana ya jana...Muda ambao mama alikua keshatoa maelekezoAlimuambia Kakoko kesho asiende Kazini kwa Vitasa vya mlango vimeshabadilishwa na asubiri taarifa tu.
Na kweli Mh. Samia kashatoa taarifa ya kumsimamisha kazi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Betri ilikuwa inaisha chaji, huyu hatumii betriHata aliekuwa boss wake (kwa sasa ni marehemu) kule mwanzo mwanzo alianza kwa speed hivyo kadri siku zilivyokuwa zinaenda mgigo ukawa unpugwa vile vile
Kinakufaje wakati ndio wenye madaraka au unadhani Mama Samia ni Chadema?Jafo katia huruma mnoo... Huwezi amini!!
Ila CCM.... kife tu. Hakiji kubadilika kamwee.
Wewe kwa akili yako, unafikiri ripoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuli?AMEPATA NGUVU YA KUAYASEMA BAADA YA TUKIO
Kunakuwa na summary ambayo inaelezea mambo muhimu anapewa. Yale ma-book yote ni mengi kwa Rais kusoma mwenyewe. Anakuwa na wasaidizi wengi ambao ndiyo wataipitia kwa undani.Na sijui anajuaje maana ripoti yenyewe Mama kaisoma usiku wa leo
Kigogo ameongea baada ya Rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. Tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogoUkiangalia jinsi rais alivyomsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa TPA ni uamuzi aliouchukua hapohapo baada ya kusomewa ripoti na CAG,sasa huyu kigogo alijuaje???..au kulikuwa na mipango ya mkurugenzi kutimuliwa kabla ya ripoti kusomwa??..huenda huyu kigogo anafanya kazi vizuri kabisa na serikali,baadhi ya viongozi wakubwa serikalini bila mzee pombe kujua..yaani rais alikuwa anazungukwa na wateuwa wake kwa maslahi Fulani!..
Ni msukuma naye?Kakoko alikuwa fisadi ambae ni UNTOUCHABLE.
Tunashukuru Mama kwa kulitumbua hilo jamaa.