mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Big up ya nini hapa? Kumsimamisha mtu kazi ilhali anaendelea kupokea mshahara wake kamili si jambo la kupongezwa, ni hasara kwa serikali inamlipa mtu bila kufanya kazi yeyote ile na hata hatujui ni kwa muda gani. Ningelimpa big up kama angelimsimamisha bila malipo au kumuachisha kazi moja kwa moja.Mama kachachamaa wapigaji wote na majizi yote awamu hii ya mama watakoma, big up Mheshimiwa.