Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Alitweet tangu saa 12 asubuhi.
25AFC17F-C85C-4415-945F-A6E3EBD8254B.jpeg
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya

“Ripoti nimeona, nimeipitia na nimebaini ubadhirifu mkubwa uliofanywa pale bandari, hili suala mnatakiwa kushirikiana, nakuomba Takukuru jishughulishe pale, alipita Waziri Mkuu alilishughulikia.

“Waziri Mkuu aliunda kamati na wakafanya uchunguzi kidogo ambao yaliyotoka, hatua chache zilichukuliwa lakini imani yangu ni kwamba kama kuna ubadhirifu pale waliosimamishwa ni hawa wa chini huku, ninaomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu hatua zaidi ziendelee,”
Raisi aliepita c alikua anafuatilia sana jamani na wezi walibanwa mno?? sasa huu ubadhirifu mkubwa umetoka wapi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unafurahia hayo makontena yapitishwe bure si ndio?
 
Atakwenda maji na the coming report ya CAG against BOT ambayo imeagizwa ifanywe kuanzia leo, yaani huyu Dotto James PST sidhani kama tumbo lake linakubali chakula vema toka jiwe atutoke&₹)((;:;()₹. C
C😉&!&₹(4( uiojhh)?₹&?,)
Huyo Dotto kila akijitahidi kula basi chakula anakiharisha tu, na hii taarifa leo sidhani kama ataweza hata kumpanda mke wake
 
kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Unatumia akili kwani ni hesabu, ama ni suala za kupata taarifa za ndani? Mfano mke wako yuko guest na mtu, ni akili gani utatumia zaidi ya kupewa habari na shuhuda wa tukio?
 
Hatari aisee ,mimi anachonishangaza ni kwamba muda wote yupo hewani na hapumziki,yaani hata ukiamka saa tisa usiku utakuta dakika mbili kapost kitu, ukiamka saa 10 yumo,saa 11 yumo na mwndo huo huo 24/7,kama hana spana basi anashabikia mpira tu na ni mwendo huo huo tangia mwezi wa nane mwaka jana baada ya mapumziko ya miezi miwili (June-August).
Kigogo sio mtu ni taasisi watu wako shift
 
Kusimamisha tu ili kupisha uchunguzi haitoshi. Haya majangiri inafaa unafreeze assets zao kwa muda na unahakikisha uchunguzi unakuwa fasttracked ili kutowapa mwanya wa kuharibu data at the same time kutoa nafasi haki itendeke

Tuliaminishwa eti hakuna upigaji mbele ya Jiwe. Imekuaje? Akina Dotto James and all those "untouchables" - Bashite et al sasa wanapaswa kuchunguzwa
 
Back
Top Bottom