Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitweet tangu saa 12 asubuhi.kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Kigogo kasema kabla hata kikao hakijaanza!weka post yake hapa na mda aliopost alafu uone hotuba imeisha saa ngapi
Nimeshamjibu mjinga mwenzako huko anaitwa Barafuyamoto, aliuliza swali la kijinga kama hili lako.Wewe kweli ni mshamba,unafikiri lipoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuri?
Zamani walikuwa aliyekuwa katibu mkuu wa chademaKuna watu wanachukizwa na uozo serikalini ndiyo wanaompa taarifa kigogo
Hawaji shem wanaombolezaShemela, Naomba niitie akina mitano tena kene uzi huu... Tafadhari shemu wangu
Raisi aliepita c alikua anafuatilia sana jamani na wezi walibanwa mno?? sasa huu ubadhirifu mkubwa umetoka wapi tena?Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti nimeona, nimeipitia na nimebaini ubadhirifu mkubwa uliofanywa pale bandari, hili suala mnatakiwa kushirikiana, nakuomba Takukuru jishughulishe pale, alipita Waziri Mkuu alilishughulikia.
“Waziri Mkuu aliunda kamati na wakafanya uchunguzi kidogo ambao yaliyotoka, hatua chache zilichukuliwa lakini imani yangu ni kwamba kama kuna ubadhirifu pale waliosimamishwa ni hawa wa chini huku, ninaomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu hatua zaidi ziendelee,”
SawaZamani walikuwa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema
Inaonekana kilichoandikwa hakijakupendeza masikioni ndio maana umeshindwa kuelewa, mbona sisi tumeelewa ???Ata sijaelewa mara makotena mara bifu, mara kigogo, ngoja nirudie kusoma upya
Haya ndiyo madhara ya sifa. ATCL vipi?Pia miradi mingi ya maji kuna ubadhirifu wachunguze sana hasa hii miradi mikubwa kwa mfano Mradi wa Maji Arusha wa Billioni takribani 500
Value of money hakuna.
Kazi tu!...
Huyo Dotto kila akijitahidi kula basi chakula anakiharisha tu, na hii taarifa leo sidhani kama ataweza hata kumpanda mke wakeAtakwenda maji na the coming report ya CAG against BOT ambayo imeagizwa ifanywe kuanzia leo, yaani huyu Dotto James PST sidhani kama tumbo lake linakubali chakula vema toka jiwe atutoke&₹)((;:;()₹. C
C😉&!&₹(4( uiojhh)?₹&?,)
Unatumia akili kwani ni hesabu, ama ni suala za kupata taarifa za ndani? Mfano mke wako yuko guest na mtu, ni akili gani utatumia zaidi ya kupewa habari na shuhuda wa tukio?kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Kigogo sio mtu ni taasisi watu wako shiftHatari aisee ,mimi anachonishangaza ni kwamba muda wote yupo hewani na hapumziki,yaani hata ukiamka saa tisa usiku utakuta dakika mbili kapost kitu, ukiamka saa 10 yumo,saa 11 yumo na mwndo huo huo 24/7,kama hana spana basi anashabikia mpira tu na ni mwendo huo huo tangia mwezi wa nane mwaka jana baada ya mapumziko ya miezi miwili (June-August).
Bado Mfugale.Huyo ni kati ya inner core wa JPM! Ama kweli kila zama na kitabu chake