Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Raisi aliepita c alikua anafuatilia sana jamani na wezi walibanwa mno?? sasa huu ubadhirifu mkubwa umetoka wapi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unafurahia hayo makontena yapitishwe bure si ndio?
 
Atakwenda maji na the coming report ya CAG against BOT ambayo imeagizwa ifanywe kuanzia leo, yaani huyu Dotto James PST sidhani kama tumbo lake linakubali chakula vema toka jiwe atutoke&₹)((;:;()₹. C
C😉&!&₹(4( uiojhh)?₹&?,)
Huyo Dotto kila akijitahidi kula basi chakula anakiharisha tu, na hii taarifa leo sidhani kama ataweza hata kumpanda mke wake
 
kigogo ameongea baada ya rais kumsimamisha kazi tu ndio akatweet. tumieni akili zenu wakati mwingine sio kila kitu uambiwe na watu au kigogo
Unatumia akili kwani ni hesabu, ama ni suala za kupata taarifa za ndani? Mfano mke wako yuko guest na mtu, ni akili gani utatumia zaidi ya kupewa habari na shuhuda wa tukio?
 
Kigogo sio mtu ni taasisi watu wako shift
 
Kusimamisha tu ili kupisha uchunguzi haitoshi. Haya majangiri inafaa unafreeze assets zao kwa muda na unahakikisha uchunguzi unakuwa fasttracked ili kutowapa mwanya wa kuharibu data at the same time kutoa nafasi haki itendeke

Tuliaminishwa eti hakuna upigaji mbele ya Jiwe. Imekuaje? Akina Dotto James and all those "untouchables" - Bashite et al sasa wanapaswa kuchunguzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…