Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Kumekucha
JamiiForums-1734658261.jpg
 
Wazee wa TANROADS wameanza kukiona duuh Kakoko katumbuliwa?
Huyu Kakoko alikuwa TANROADS enzi hizo.​
 
Huyu ni hatari kwa usalama wa nchi, haiwezekani habari confidential ya nchi mtu wa pembeni anaipata within seconds, sio jambo la kufurahia japo najua wabongo kwa ujumla wetu tunapenda ubuyu. Binafsi sipendi, raisi anaandika kinote then within seconds kigogo ameipublish huko twitani, sio sawa hata kidogo...
Basi katafute nchi yako ya kuishi ambako watu hawali ubuyu
 
Wewe ulifatilia hotuba ya Magufuri wakati anazindua bunge la2020? Kama ukufatilia nenda YouTube usikilize maneno yake, Tanzania ilipokuwa imefikia usiliweza kumaliza ubadhirifu kwa miaka mutano,hata hivo Magufuri alijitaidi sana pamoja na makerere yote mliokuwa mkipiga.
Cjawahi pigia mtu kelele kwanza.. Pili cna haja ya kutafuta hutuba ninavojua alifukuza watu wengi hapo bandarini akidai ni wezi akaweka watu wake waaminifu sasa huu ubadhirifu imekuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mama Yangu samia,watu walidhani kuwa umefika muda Wa business as usual
 
Sio January Makamba tena
Mimi sijui kama ni January Makamba wala nini, ila ukiangalia serikali karibu zote duniani humu zina mtindo kama huu. Haijalishi kama ni za ki dictator au la, zote humipa upepo kwanza...
 
RAIS HONGERA SANA.
Tukiwa katikati ya maombolezo mtu anaongezewa maombolezo. Bado Dotto James anatakiwa aondoke kabla mama hajapoa.

Hizo mambo za sukima gang,sijui konde gang zifutiliwe mbali na zisiwepo kabisa kabisa.,siyo kwa rais huyu tuh,hata yeyote ajae,huu ushamba ushamba usijirudie Tena,lazima tujifunze kuuepuka ubaguz kwenye nchi yetu
Kabisa mkuu, daraja la Ruvu linaitwa Ruvu, daraja la wami linaitwa Wami, Ubungo bus Terminal inaitwa hivyo, Msamvu ni msamvu Terminal.

Ukiangalia design wa hayo makitu hata hajafanya Mfugale, labda yeye ndiye financier hakuna.

Everyday is Saturday............................... 😎

Hatukatai kuwaenz waasisi wa nchi kama nyerere,karume hata wastaafu ma marehem Kama mkapa,na kadhalika,unatoa majina Kama kumbu kumbu kwa vizaz vijavyo kuwa huyu alikuwa RAIS wa jamhuri aliyafanya haya na haya,sasa unatuwekea mtu Kama Mfugale kuliua jina la tazara flyover kwa mantiki gan?Kama siyo ushamba
 
Back
Top Bottom