Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

100%
 
Alimuambia Kakoko kesho asiende Kazini kwa Vitasa vya mlango vimeshabadilishwa na asubiri taarifa tu.
Na kweli Mh. Samia kashatoa taarifa ya kumsimamisha kazi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Halafu wanamtafuta Kigogo Manzese! Hii Serikali inadharau Sana. Kigogo wanakula nae, walienda wote kuzika NK NK wasitusumbue.
 
We muongo Sana, ndio kiongozi katenda ila sio kiwango hicho mnachosifia , Sasa subili ko atapigwa na mrithi wake ,uongozi sio kutumia nguvu check president wa GHANA
 
Hayati! Ama kwa hakika katika awamu yako pia dili na ufisadi mkubwa vilikuwepo, tena vikifanywa na watu wako wa karibu sana.

Vita ulivipiga na mwendo umemaliza. Roho ya marehemu ipate rehema na ipumzike kwa amani.

[emoji120]
 
Nyie ndio wale wa zamani mmerudi sasa
 
Watu wanafurahia ripoti imegusa vitu muhimu sana na mama kakazia kuwa haya mashirika yachunguzwe na CAG asiogope ili waweze kuyafanyia maamuzi sahihi. Huoni kuwa hilo ni jambo la kufurahi?
Si jambo baya maana walichukua maamuzi ha kuyachunguza kabla ya kuanza kukagua, ila kawasisitiza kuendelea hivohivo.
 
Ww bado mshamba huwezi jua
 
Akili yako fupi unashindwa kung'amua kwamba kuna upande mmoja uliokuwa kando unarudi..

Ficha ujinga wako. Upande mmoja maana yake nini?! Nasema ukaguzi huru unahitajika na aufanye Assad. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…