Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
MATAGA bwana yani utadhani sio nyie mlikua mnamsifia jiwe... leo jiwe kawa business as usual teh teh tehAsante sana mama Yangu samia,watu walidhani kuwa umefika muda Wa business as usual
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATAGA bwana yani utadhani sio nyie mlikua mnamsifia jiwe... leo jiwe kawa business as usual teh teh tehAsante sana mama Yangu samia,watu walidhani kuwa umefika muda Wa business as usual
Kabla ya kumpa mtu wizara tuangalie na uwezo wake/ uzoefu. TAMISEMI ni wizara kubwa sana na ina wajanja wengi na wasomi pia. Lakini vilevile ni wizara yenye njaa hats deal la 5,000/= mtu haachi. Hii wizara inahitaji waziri mwenye uzoefu mkubwa na ufuatiliaji wa hali ya juu sio kurukaruka.Kazi yake kukimbiakimbia tuu, hivi mlishamuona alipokuwa kwenye msafara wa Jpm
Jiwe alikua mpigaji... miradi ya chato ichunguzwe...bila kusahau kampuni ya mayanga construction.Wewe naweeeee
Hivi ukifa kabla ya kutekeleza baadhi ya mipango yako unaumbuliwa[emoji848][emoji848]
Basi Jiangalie sana na wewe na mipango yako usijeumbuliwa ukiwa marehemu
Imetolewa baada ya kifo chake... READ BETWEEN LINES...!!Wewe kwa akili yako, unafikiri ripoti hii imeandaliwa siku hizi mbili baada ya kufa Magufuli?
Lakini hao wanakubalibkuwa Luna Hasara.... AFU USISAHAU KUNA NCHI HUKO kwa mwenzetu kuna mashoga....Vichwa vyenye akili fupi vilivyozungumzia hasara ya B60 vinaongea kishabiki vinashindwa kutambua ya kwamba hata mashirika makubwa ya ndege yameingiza hasara kubwa sana....
mfano hata hawa jirani zetu Kenya Airways wametengeneza hasara ya B700....
Mashirika makubwa yameingiza hasara kwasababu ya corona nahasara hizo ni 2019-2020 ila sisi tumeingiza hasara kwa miaka mitano, yani ndani ya miaka 5 tumepata hasara kila mwaka hasara hadi ifikie miaka mitano.....Vichwa vyenye akili fupi vilivyozungumzia hasara ya B60 vinaongea kishabiki vinashindwa kutambua ya kwamba hata mashirika makubwa ya ndege yameingiza hasara kubwa sana....
mfano Kenya Airways wametengeneza hasara ya B700....
Akili yako fupi sanaa kama ndulaImetolewa baada ya kifo chake... READ BETWEEN LINES...!!
Halafu jiulize, kwanini Mheshimiwa mama yetu awaambie TAKUKURU kuwa kama kuna kesi zisizo na kichwa ziondolewe..!?
Watarudi wote kina ritz,faiza, et al maana awamu ya mgalatia imepita.Nyie ndio wale wa zamani mmerudi sasa
Huyu faiza anaonekana alikuwa timu yatima hadekiWatarudi wote kina ritz,faiza, et al maana awamu ya mgalatia imepita.
Sawa. Kwanini mfiche kwa miaka yote mitano? Mlikuwa mnaficha kwa faida ya nani?Vichwa vyenye akili fupi vilivyozungumzia hasara ya B60 vinaongea kishabiki vinashindwa kutambua ya kwamba hata mashirika makubwa ya ndege yameingiza hasara kubwa sana....
mfano hata hawa jirani zetu Kenya Airways wametengeneza hasara ya B700....
Ethiopian Airlines hasara yaTrillion 1.1....
Upigaji gani tena? Si tuliambiwa wapiga dili wote walimalizwa?Ukimaliza njoo na TANAPA Mama kuna upigaji wa kufa mtu huku.
Chato empireShujaa wa wapi?
Walikuwa wanasema wanaingiza faida ila haitakiwi kugaguliwa na CAG.Sawa. Kwanini mfiche kwa miaka yote mitano? Mlikuwa mnaficha kwa faida ya nani?
System reboot hiyo kwio. Magu kamaliza upigaji hivyo mitano tena yaniSystem reboot Raisi mpya akiingia popote duniani hutokea hilo ili awe free kutekeleza vision yake
Mkurugenzi Barua kama anahitaji asubirie nyumbani au akakae getini geti la bandari maana korokoroni wa bandari hawatamruhusu kuingia .Sio wa Kwanza yeye ushauri aisubiri nyumbani kuna heshima zaidi kuliko kukaa juani geti la bandari
System reboot kitu cha kawaida ndani ya CCM na nje ya CCM na kwenye serikalli
Ukitizama hata jamii forums kuna active members wengi watapotea hewani sio kwa nia mbaya ni computer au system inakuwa rebooted Ku allow new software ya new president kufanya kazi bila interference ya old software
Na log off
DG wa Bandari na wa Tanroad hawakuwa wakimheshimu Majaliwa kwa kuwa waliamini hana cha kuwafanyaAlimvimbia hadi Majaliwa huyu