Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Ngoja sasa Watobolewe, hapo TPA kuna wajuaji wengi sana ila wapigaji watupu, kuna mzee alikuwa mzungumzaji sanaaa akapewa kitengo hapo TPA.....ghafla akawa bubu!!!
dawa ya hapo ni kusafisha wote.
Yule Mzee Mkinga alikuwa anapenda Sana kuhojiwa na vipindi vya mabishano ya hoja alikuwa anapambana shirika la meli Nasaco lilejeshwe.

Kuna sehemu alikuwa anagusa wazee, kuna muda alikuwa anatoa hoja hazipo kabisa technical ila akapewa shavu bodi ya wakurungezi saizi shavu dodo kelele hakuna tena mwezi uliopita nilikutana nae live.
 
Wanataka kumpima mama mara tatu kuu, kama Rais, kama mwanamke na kama mzanzibar. Lakini hawatafua dafu kwa huyu mama japo anaonekana mpole.
 
Pia miradi mingi ya maji kuna ubadhirifu wachunguze sana hasa hii miradi mikubwa kwa mfano Mradi wa Maji Arusha wa Billioni takribani 500

Value of money hakuna.

Kazi tu!...
Sio huo tu bali yote ifanyiwe uhakiki maana mingi haikupita bungeni.
 
Mama kachachamaa wapigaji wote na majizi yote awamu hii ya mama watakoma, big up Mheshimiwa.
Avunje baraza ateue upya na awaapishe upya yeye nwenyewe watakaomtii na kufuata maagizo yake. Kuna makabila ambayo yanadharau wanawake yatamsumbua sana kwenye serikali yake kama watakuwa wengi kwenye cabinet
 
Kuna makabila ambayo yanadharau wanawake yatamsumbua sana kwenye serikali yake kama watakuwa wengi kwenye cabinet
Yana vimelea kama vya yule Naibu wa TAMISEMI aliyetoka ng'ambo ileeeee!!!
 
PM alifanya lilikokuwa kwenye uwezo wake na alisema ambao wako juu ya uwezo wake anamwachia rais...PM asingeweza kumtumbua DG wa TPA wakati hajamteua yeye.
 
Yaani ukiona clip ya Jofu wakati JPM ametembelea soko la Kisutu hauwezi kudhani huyu ni waziri
 
Kama siyo kujuana, mkurugenzi wa Bandari Deusdedit Kakoko alikuwa atumbuliwe mwaka 2015 baada ya kuibuka kashfa za mita za mafuta na baadaye magari polisi. Ila kwa vile alikuwa mshikaji wa jiwe, alisepa kama alivyosepa Lugumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…