Nini rafiki wa mkulu hivi angeweza kusema kuwa midege ni loss kila mwaka?Ingekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini rafiki wa mkulu hivi angeweza kusema kuwa midege ni loss kila mwaka?Ingekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
Yule Mzee Mkinga alikuwa anapenda Sana kuhojiwa na vipindi vya mabishano ya hoja alikuwa anapambana shirika la meli Nasaco lilejeshwe.Ngoja sasa Watobolewe, hapo TPA kuna wajuaji wengi sana ila wapigaji watupu, kuna mzee alikuwa mzungumzaji sanaaa akapewa kitengo hapo TPA.....ghafla akawa bubu!!!
dawa ya hapo ni kusafisha wote.
Hii hapaNashauri Kigogo ajengewe sanamu
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya
“Ripoti nimeona, nimeipitia na nimebaini ubadhirifu mkubwa uliofanywa pale bandari, hili suala mnatakiwa kushirikiana, nakuomba Takukuru jishughulishe pale, alipita Waziri Mkuu alilishughulikia.
“Waziri Mkuu aliunda kamati na wakafanya uchunguzi kidogo ambao yaliyotoka, hatua chache zilichukuliwa lakini imani yangu ni kwamba kama kuna ubadhirifu pale waliosimamishwa ni hawa wa chini huku, ninaomba mara moja nitoe agizo la kumsimamisha Mkurugenzi Mkuu wa Bandari halafu hatua zaidi ziendelee,”
Sio huo tu bali yote ifanyiwe uhakiki maana mingi haikupita bungeni.Pia miradi mingi ya maji kuna ubadhirifu wachunguze sana hasa hii miradi mikubwa kwa mfano Mradi wa Maji Arusha wa Billioni takribani 500
Value of money hakuna.
Kazi tu!...
Tanzania ports authorityTPA kirefu chake ni nini?
Nimeikuta huko Twitter je hii imekajeHapajawahi kuwepo jina la TAZARA flyover
Avunje baraza ateue upya na awaapishe upya yeye nwenyewe watakaomtii na kufuata maagizo yake. Kuna makabila ambayo yanadharau wanawake yatamsumbua sana kwenye serikali yake kama watakuwa wengi kwenye cabinetMama kachachamaa wapigaji wote na majizi yote awamu hii ya mama watakoma, big up Mheshimiwa.
Zalongwa mbali zatendwa mbali, alichofanya JPM ni kubadilisha wapigaji tu.Wizi na ubadhilifu ulikuwepo tulifichwa na bwana yule. Alitumbua baadhi wengine akawaacha, hasa wale wa Kanda pendwa.
Bashite tu peke yake kala mpaka baaasi...Hiyo wanasema ni "tip of iceberg".
Yajayo......!!!!
Hela hizo zimeshachukuliwa kujenga midaraja ya BusisiArudishe fao la kujitoa watu wachukue chao.
Yana vimelea kama vya yule Naibu wa TAMISEMI aliyetoka ng'ambo ileeeee!!!Kuna makabila ambayo yanadharau wanawake yatamsumbua sana kwenye serikali yake kama watakuwa wengi kwenye cabinet
Na wakawa wapigaji maalum, ukipiga bila maelekezo anakutumbuaZalongwa mbali zatendwa mbali, alichofanya JPM ni kubadilisha wapigaji tu.
Yaani ukiona clip ya Jofu wakati JPM ametembelea soko la Kisutu hauwezi kudhani huyu ni waziriKabla ya kumpa mtu wizara tuangalie na uwezo wake/ uzoefu. TAMISEMI ni wizara kubwa sana na ina wajanja wengi na wasomi pia. Lakini vilevile ni wizara yenye njaa hats deal la 5,000/= mtu haachi. Hii wizara inahitaji waziri mwenye uzoefu mkubwa na ufuatiliaji wa hali ya juu sio kurukaruka.
Ripoti mbili unazijua!? Ipi isomwe inategemea nani anataka hiyo ripptiAkili yako fupi sanaa kama ndula
kwa mujibu wa sheria kila mwaka mwezi wa tatu lazima kuwe na report ya CAG
Shujaa wetu wa Afrika alikua mpigaji kama wapigaji wengine tu sema yeye alifanya kwa Siri sanaKwa sifa anazopewa shujaa wetu wa Afrika ninashangaa kwanini hakuona huo uozo mapema!!
Mimi mbona nipo au nikiingia JF mpaka nikuambie.Watarudi wote kina ritz,faiza, et al maana awamu ya mgalatia imepita.
Oooo.. jibu si unalo..Wa Bandari chali...huyo jamaa alikuwa kidume.. Namtamani sana na Mkinganimuulize tu swali moja! Amewezaje kuifanya serikali ijinyee ndani ya nguo zake?