Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Safi sanaaaaa motooo ni uleule kutumbua majipu
 
Kwa sifa anazopewa shujaa wetu wa Afrika ninashangaa kwanini hakuona huo uozo mapema!!
 
Hamukeni Hamukeni Jamani, Si tuliambiwa kwamba MEKO alimaliza ufisadi kwenye mashirika ya UMMA?
 
Yaani hapa ndioi Kigogo anajichuliaga POINT TATU kabisa 🤣🤣🤣
 
Kila la Kheri mama safisha uchafu wote, tupo pamoja, tunaomba utupandishe daraja ajira ya 2014, mimi ni mpinzani mwenye mahaba na mama kipenzi cha watanzania, Mungu akupe ulinzi inshaalah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…