Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Kigogo!kigogoShikamoo Kigogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo!kigogoShikamoo Kigogo
Safi sanaaaaa motooo ni uleule kutumbua majipuRais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Kama una connection nae mkuu tupe atugawie kidogoIla kakonko anapesa balaa Eng kapiga hela mpaka hajuii azipeleke wapi!!
Kwa sifa anazopewa shujaa wetu wa Afrika ninashangaa kwanini hakuona huo uozo mapema!!Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Kuna mtu anafukuzwa kazi Leo kwa Wizi wa BandariniAlisemaje???
.Hapo ndio utamkubali Kigogo,maana alishasema
View attachment 1736493
Mzee alikua anawafuga hawa watu wake.Mambo yameanza kwa kasi Rais Samia amsimamisha kazi DG wa Bandari bwana Kakoko
Source TBC!
[emoji3][emoji3]Nashauri Kigogo ajengewe sanamu
Hamukeni Hamukeni Jamani, Si tuliambiwa kwamba MEKO alimaliza ufisadi kwenye mashirika ya UMMA?Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Yaani hapa ndioi Kigogo anajichuliaga POINT TATU kabisa 🤣🤣🤣Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Nawe umekosea, ni Ports hukumalizia S kwenye Port. Kwa hiyo ni Tanzania Ports Authority.Tanzania port authority
Tanzania Ports AuthorityTPA kirefu chake ni nini?
Kigogo alisemaje mkuu?Shikamoo Kigogo
Kama alisema hivyo basi jamaa n hatariAlimuambia Kakoko kesho asiende Kazini kwa Vitasa vya mlango vimeshabadilishwa na asubiri taarifa tu.
Na kweli Mh. Samia kashatoa taarifa ya kumsimamisha kazi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hiyo wanasema ni "tip of iceberg".Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Kila la Kheri mama safisha uchafu wote, tupo pamoja, tunaomba utupandishe daraja ajira ya 2014, mimi ni mpinzani mwenye mahaba na mama kipenzi cha watanzania, Mungu akupe ulinzi inshaalahRais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.