Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Ripoti ya CAG 2020/2021 iliyo tolewa leo mbele ya Mhe. Rais imebainisha kuwa na ubadhirifu wa kutisha mpaka kulazimika kumsimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Bandari.

Bandari kuna mdudu gani hapo asiye kufa!?!

Takukuru na vyombo vingine pamoja na FIU wanao wajibu wa kusafisha ubadhirifu huu unao jitokeza hapo bandarini, inaonekena kila mfanyakazi hapo Bandari ni Mpigaji.
 
Ripoti ya CAG 2020/2021 iliyo tolewa leo mbele ya Mhe. Rais imebainisha kuwa na ubadhirifu wa kutisha mpaka kulazimika kumsimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Bandari.

Bandari kuna mdudu gani hapo asiye kufa!?!
Hapo ni hatari
 
kwani alisemaje Kigogo
kasema ivoo...
Screenshot_20210328-114443_Twitter.jpg
 
Hongera Sana Mh RAIS Mama SAMIA, Simama katika haki na usawa bila upendeleo,chapa kazi weka kando zile mambo za ukabila, udini na ukanda,

Watakaoleta HOJA ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI waogope Kama corona na ikibidi wapimwe corona kwa kipimo hiki Cha njia ya nyuma Kama nyuma,

Aksante.
 
Back
Top Bottom