Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Hongera Sana Mh RAIS Mama SAMIA,Simama katika haki na usawa bila upendeleo,chapa kaz weka kandi zile mambo za ukabila,udini na ukanda,

Watakaoleta HOJA ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI waogope Kama corona na ikibid wapimwe corona kwa kipimo hiki Cha njia ya nyuma Kama nyuma,

Aksante.
Walitaka kuondoa ukomo wa raisi kukaa madarakani, wakasahau kwamba hawawezi kuondoa ukoma wa maisha ya raisi.
Eti "atake asitake ni lazima......". Mungu akawauliza, mnasemaje?
 
Mambo yameanza kwa kasi Rais Samia amsimamisha kazi DG wa Bandari bwana Kakoko

Source TBC!

Mambo yameanza kwa kasi Rais Samia amsimamisha kazi DG wa Bandari bwana Kakoko

Source TBC!onjwa ule ule bado haujaisha!!
Kwa nini tunaonyesha kila dalili ya kufurahia jambo bila hata kuchukua muda kutafakari?
Amesimamishwa kazi na hajafukuzwa kazi.
Uchunguzi wa kina ufanyike!!
Kipi cha ku celebrate hapo?
Maskini watanzania!!
 
Back
Top Bottom