Jafo wa Kusifu na Kuabudu... Wakae pembeni wootee..Hapa kwa Jafo kaongea vizuri sana. Maana amemwambia ukishindwa tuambie tukusaidie.
Hiyo kukusaidia ina maana kubwa kweli. Aidha uondolewe au uelekezwe nini cha kufanya.
Umeongea point sana.miradi ya chato ichunguzwe pamoja na ATCL kuna ubadhirifu mkubwa.Wachunguze pia na Ubadhilifu wa majengo yote ya chato mana hakuna anayejua
Alikuwa boss wangu Tanroad arushaKama unaconection nae mkuu tupe atugawie kidogo
fundi25 wanataka wakujengee samanu.. 😀😀😀Nashauri Kigogo ajengewe sanamu
Tanzania Ports Authority (Mamlaka ya Bandari Tanzania)TPA kirefu chake ni nini?
Nimeanza kujisikia vibayaWateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Jafo ajiangalie sana maana hata Magu alimwambia hadharani hakitaka kumrudisha ila ni kwa bahati tuuKampiga mkwara na Jaffo kule TAMISEMI! Safi mama tuko nyuma yako!
kwanini yupo deep hivi?Kigogo ni ghost mkuu.
Nchi ya wajinga wengi hivi unashindwaje kupiga hela?Ila kakonko anapesa balaa Eng kapiga hela mpaka hajuii azipeleke wapi!!
Walitaka kuondoa ukomo wa raisi kukaa madarakani, wakasahau kwamba hawawezi kuondoa ukoma wa maisha ya raisi.Hongera Sana Mh RAIS Mama SAMIA,Simama katika haki na usawa bila upendeleo,chapa kaz weka kandi zile mambo za ukabila,udini na ukanda,
Watakaoleta HOJA ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI waogope Kama corona na ikibid wapimwe corona kwa kipimo hiki Cha njia ya nyuma Kama nyuma,
Aksante.
Vumilia na ukaze moyoNimeanza kujisikia vibaya
Huyo si mutu wake lakini ? Au nadanganya ndugu zanguHamukeni Hamukeni Jamani ,Si tuliambiwa kwamba MEKO alimaliza ufisadi kwenye mashirika ya UMMA?
Dah mkuu unanipa furaha kabisa. Yani degree yangu na masters ya nuclear aerospace na atomic engineering imekaa kizembezembe kabatini.Huyu ndo Rais nimtakae.... Bado Mei Mosi na Akiajiri graduates kadhaa kitaaa , basi saafi
Hata hiyo hasara ya ATCL asingethubutu kuitaja.Ingekua enzi za Mtetezi wa wanyonge hivi CAG angemtaja kweli huyu rafiki kipenzi wa mkulu?
Mambo yameanza kwa kasi Rais Samia amsimamisha kazi DG wa Bandari bwana Kakoko
Source TBC!
Kwa nini tunaonyesha kila dalili ya kufurahia jambo bila hata kuchukua muda kutafakari?Mambo yameanza kwa kasi Rais Samia amsimamisha kazi DG wa Bandari bwana Kakoko
Source TBC!onjwa ule ule bado haujaisha!!