Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Sahihi kabisa, Selemani aache uswahili! Kaambiwa kama atashindwa aseme asaidiwe!

Wacha Rais afanye yake maana majipu yalipungua ila kwisha bado na mengine yalianza kuchipukia kabla hata ya maziko

Mambo yameanza kwa kasi Rais Samia amsimamisha kazi DG wa Bandari bwana Kakoko

Source TBC!
Bwashee umefufukia wapi,wewe si walewale timu hayati,leo mtalala kaburini kwake mkimlilia....bado Dotto biteko,Dotto james,bashiru,mnyeti hawa wanajua siri zao za ukuta wa mererani,tunataka uchunguzi uanze na ukuta wa mererani
 
Taasisi..
Kikundi Cha watu...

iPhone ..iPad.. Mac
Twitter for...
Tambua kwamba kigogo ana ukwasi possible hivyo vitu vyote akawa navyo kwa pamoja,ingekuwa ni taasisi/kikundi cha watu basi mmoja wapo angekuwa kashasnitch...Kigogo ni ghost/one man show.
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Mimi najiuliza hivii...!!
1. Huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 6 March 2021?
2. Au huo ubadhirifu umefanyika baada ya tarehe 17 March 2021?
3. Kama ubadhirifu ulikuwepo? Kwanini haukusemwa kabla?
 
Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo

Ukimteuwa mtu hawezi kua mbaya?! Ni sawa mtu anaowa baada ya mwaka wanaachana tena kwa ugomvi mkubwa na walikua na mapenzi hatariii
 
Bwashee umefufukia wapi,wewe si walewale timu hayati,leo mtalala kaburini kwake mkimlilia....bado Dotto biteko,Dotto james,bashiru,mnyeti hawa wanajua siri zao za ukuta wa mererani,tunataka uchunguzi uanze na ukuta wa mererani
Ndio maana tulikuwa tunasema awamu ya meko ina wapiga dili kibao kuliko hata awamu ya kikwete.
 
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo.

Mkurugenzi mkuu huyo anasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa kina.
Oooyaaaaa!.........mama huyo anaingia kwa spidi....!
 
Duh...
Samia aiunde upya ikulu na taasisi ya tiss, haiwezekani huyu jamaa awe anapata taarifa kiasi hiki...
There is a big fissure somewhere...
Huenda yupo humo humo ikulu.
Inner cycle! Kuna mole! Shame sijui watamng'oaje?

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kiufupi ni kwamba Dg aliwahi kuziwia makontena ya mama yetu yule mbunge wa kule Nan. Alie wahi kua first Lady.
Mzee alichachamaa Sana na kufikia Hatua mpaka ya kuita wazee wa Baraza na kuwaambia kua anacho fanya Hayat hajakipenda na Akubalian nacho

Mambo yakaenda wakayamaliza ila Bifu lilibak hasa kwa uyo Dg mana yeye ndie alie toa Amri ya kuziwia contena kipind icho

Pia bila shaka system Ile ya nimeichukua ka hela kaMboga imesha shika uskan walio kua Upande wa Hayat na wakabania watu wa system wajiandae mana soon wanaliwa vichwa pia mama yetu tayar Amesha chagua Upande

Kigogo pia ni mtu Wa Ndan ya ccm Ile ya system ndiomana amejua kua fulan siku fulan hato kuepo atatimuliwa sababu majina yote ya watu wasio hitajika hata yeye anayo so kazi yake ni kuyasoma tu na kuyataja hadharan

Kwa hili ni wazi kabisa kua kigogo ni vigogo time will tell

Mama amesha chagua Upande
 
Back
Top Bottom