Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Msigwa anaedit CV yake
Au anarejea kuwa reporter wa TBC kule Ruvuma
Au anarejea kuwa reporter wa TBC kule Ruvuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una bonge la memory. HONGERAGerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.
Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
KeshajichokeaAwamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Msigwa anaedit CV yake
Au anarejea kuwa reporter wa TBC kule Ruvuma
Una uhakika gani kama Msigwa bado yupo kwenye ofisi ya rais mpya?Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Kwanza inawezekana asharudi kwao Kifanya njoombeHuyo Gerson msigwa ni kama hajui hatma yake ya kazi, kwahiyo anafanya kazi kwa kuvizia vizia[emoji91][emoji91][emoji91]
Alipewa hiyo nafasi sababu ya ushemeji na mtoto wa jiwe..Gerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.
..Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
Inabidi mama yetu asafishe ghalaGerson Msigwa leo alikuwa MC,bado anatafakari hatma yake.
Anauona mlango wa kutokea u wazi.
Tulia wewe mtoto yatimaKwani ujumbe hukaupata au una lako na msigwa?
Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Mbona toka asubuhi imetumwa?Hii barua tumeidai leo kwà massa 12, wakati wa Magufuli ilikuwa inatumwa baada ya lisaa limoja
Kwenye official pages za serikali.Ilitumwa wapi?