Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Keshajichokea
 
Nadhani alikuwa anapewa info kabla ya tukio...leo hajapewa kashtukizwa tu...labda tumsaidie ku-edit zilizopita
 
Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?
Una uhakika gani kama Msigwa bado yupo kwenye ofisi ya rais mpya?
 
Huyo Gerson msigwa ni kama hajui hatma yake ya kazi, kwahiyo anafanya kazi kwa kuvizia vizia[emoji91][emoji91][emoji91]
Kwanza inawezekana asharudi kwao Kifanya njoombe
 
..Gerson Msigwa aondolewe ktk nafasi ya Muandishi wa Habari wa Raisi.

..Msigwa hafanani kabisa kiweledi na watangulizi wake kama Paul Sozigwa,Hashim Mbita, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, na wengine.
Alipewa hiyo nafasi sababu ya ushemeji na mtoto wa jiwe
 
Awamu ya tano hotuba ya Mhe. Rais ilipoisha tu tunapata barua ya kurugenzi ya mawasiliano kuhusu maelekezo pamoja na barua yakutengeu au kumsimamisha kazi Mtumishi kutegemeana na maelekzo aliyotoa Rais, kwanini Leo hakuna barua yakumsimamisha kazi inayosambaa mitandaoni?

Una uhakika?
 
Msigwa ni kama ana kijitabia fulani hivi cha kumchukulia mama poa. Alianza kwa kumwandika Rais samia baada ya kukosolewa vikali na wadau ndio ameanza kuandika majina yote kwa utimilifu. Kama vipi apumzishwe tu maana hamna namna nyingine ya kumvumilia mtu anayeleta utani kwenye mamlaka ya nchi.
 
Back
Top Bottom