Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Vizuri sana.
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kazi iendelee
 
Mambo yote yanaenda kwa magufuli. ALIYEndika hajitambui. Tumuonee huruma sana hajui aandikalo. Asikilize wastaafu wanavyosema.
 
Nakushauri kwa Mama Samia sema Serikali...tunapotosha umma kufikiri maamuzi yote ni ya rais na hakuna uwajibikaji wa pamoja.Nyie watendaji mkifanya ya hovyo watasema huyo ni mama!!!Afadhali useme hata serikali ya Mama Samia...blah blah...uendeshaji wa nchi una michakato na maamuzi mengi nq muhimu hupitia vikao vya baraza la mawaziri na bunge
 
Namkubali sana Samia. .lakn watu waache kuhependejeza , pia tuseme selikari imetoa na sio samia katoa ..
 
Fact kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…