Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Kazi iendelee Tanzania, tumempa tuliyemsubiri kwa muda mrefu
 
Iko vizuri Sana, hongereni
 
Tunataka Waandishi wa habari waende watupe taarifa kamili,hii haitoshi.Tuna-amini mradi una-suasua.
 
Pumbafu wewe unabahati kesho ni jumapili ningekusambazia raha

Kuna mtu anakuja na Mada za Kizalendo kama huyu hapa?

Jamaa yangu kuna watu unawapa shida sana hapa walitaka Samia ashindwe wameshindwa wao ndio maana wanalialia
Mzanzibar akiandika utamjua tu. Sio lengo la Samia, ni lengo la serikali, mpango wa serikali. Kwani aliyeanzisha ujenzi ule ni Samia?. Sisi tushamkubali awe Rais wetu Wala haihitaji nguvu kubwa na debe.
 
Iko vizuri Sana, hongereni
Kaongeza pesa sawa, je zina mtu wa kuzisimamia au ni hawa hawa wapigaji, wachumia tumbo ambao wana ajenda zao binafsi, ajenda za siri za kutafuta pesa kwa ajili ya 2025 and beyond kwa ajili ya urais wa Tanzania!? Let us be serious jamani, kwani Timu za ushindi wa binafsi zimezidi sana this time!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…