Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Endeleeni kula buku 7/7 zenu tuacheni sisi walalahoi...Tumegeuka vituko awamu hii ati tuna laana!Wewe unalaana, Ona CM 1774858 alichokujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kula buku 7/7 zenu tuacheni sisi walalahoi...Tumegeuka vituko awamu hii ati tuna laana!Wewe unalaana, Ona CM 1774858 alichokujibu
Wewe kuna mtu amekuzuia kujiunga na CCM??Endeleeni kula buku 7/7 zenu tuacheni sisi walalahoi...Tumegeuka vituko awamu hii!
Mie ni CCM kabla hujaja mjini wala kuweza kununua smartphone yako ya kwanza. Usimdharau usiyemjuaWewe kuna mtu amekuzuia kujiunga na CCM??
CCM hawana wabeba laana kama weweMie ni CCM kabla hujaja mjini wala kuweza kununua smartphone yako ya kwanza. Usimdharau usiyemjua
Bei ya korosho inaamuliwa na soko la Dunia, Wewe unajua bei katika soko la Dunia leo ikoje?Hii ina-translate vipi na wakulima wa Korosho kule kukosa masoko, mbolea kupanda, mfumuko wa Bei na mgao wa umeme wa kila kona huku gharama za kuunganishwa kurudishwa....
Bila kusahau kutumia muda kwa malumbano na kutupiana vijimaneno wakati mambo hayaendi....
Pacha hawajui walitendalo wacha watakutana na mkono wa Mungu hukohuko,Wewe unalaana, Ona CM 1774858 alichokujibu
Endelea na mapambio ukitolewa kwenye ulaji utapata akili sawa sawaCCM hawana wabeba laana kama wewe
Mama habari nyingine,!!
Haya mambo ndio yanazua #2025FEVER
KAZIIENDELEE MAMA😀😀😀
Hii ni ID mojaHiyo Sehemu iko wapi mkuu?
Na inashida gani zaidi?
#KAZIIENDELEE
CHADOMO yaani huna hoja unaona "ID" ni jambo kweli lakujadiliwa hapa ?Hii ni ID moja
Daudi Mchambuzi
Daaah!!?Endelea na mapambio ukitolewa kwenye ulaji utapata akili sawa sawa
Mnasikitisha sana kweli kama taifa tuna hasara kubwaDaaah!!?
siuje nawewe kwenye Ulaji mkuu nani kakukataza,
Wakulima wa Korosho kupata au kukosa soko inaamuliwa na Dunia ila huu Uchumi wa kwenye Makaratasi anaupandisha Samia ?Bei ya korosho inaamuliwa na soko la Dunia, Wewe unajua bei katika soko la Dunia leo ikoje?
😀😀😀😀 Yani mimi VUGU-VUGU ni CCM? khaaaHii ni ID moja
Daudi Mchambuzi
mandazi kama wewe huwezi kuwa na ID yenye akili kama hiyo. wewe imba mapambio ulipwe uende chooniCHADOMO yaani huna hoja unaona "ID" ni jambo kweli lakujadiliwa hapa ?
#HATA OKW BOBAN SUNZU ni "ID" yangu pia,
😍===
According to NBS Pato la Tanzania (Tanzania Gross Domestic Product GDP) limekua kwa kasi ya ajabu na kufikia 5.2% robo ya tatu ya mwaka kutoka 4.1% robo ya kwanza wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani 19|03|2021 takribani miezi tisa sasa,
Kwa lughal rahisi tunaweza kusema Rais Samia Suluhu Hassan kwa miezi hii michache amekuza Pato la nchi nzima kwa ukuaji "Chanya" wa Uchumi wa 5.2% wakati huu huu ambapo majirani zetu wakishuhudia ukuaji "Hasi " wa Uchumi wao,
Mtakumbuka,hali ilikuwa mbaya zaidi mwaka 2019 pale ambapo AfDB waliikadiria Tanzania Pato lake kushuka kutoka wastani wa ukuaji wa 7% hadi ukuaji wa 2.1% mwaka 2019|2020 na sababu ikiwa ni Covid 19,
Wakati huohuo baadhi ya nchi za Africa Mashariki walishuhudia ukuaji hasi wa Uchumi mathalani Rwanda ilirekodi ukuaji hasi wa -3.6% huku Kenya wakishuhudia ukuaji hasi wa -2.1% robo ya pili ya mwaka 2021 wakati Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan tulirekodi ukuaji Chanja wa 4.4%
Kuimarika kwa kasi kwa Utalii na uwekezaji mkubwa toka nje na kilimo vimetajwa kuwa ni sababu za kukua kwa kasi kwa Uchumi wa Tanzania hasa katika robo ya tatu ya mwaka 2021 uliofikia TZS 32 trilioni kutoka TZS 30.3 trilioni katika robo ya tatu ya mwaka 2020.
Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na 338%
Utalii katika robo hii ya tatu ( Q3 ) umechangia 18.1% kwenye Uchumi wa Taifa na hii inachagizwa zaidi utengenezaji wa "Royal Tour Film " itakayozinduliwa rasmi 22|04|2022 huku kilimo kikichangia 15.1%
View attachment 2069362
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Mimi maandazi wewe mtori endelea kula nyama ziko chini, 😀😀😀😀mandazi kama wewe huwezi kuwa na ID yenye akili kama hiyo. wewe imba mapambio ulipwe uende chooni
Mkuu Jumbe Brown nilipigwa na wimbi la nne ila tayari niko salama sana,Namba zinaongea 👊
Takwimu zinaongea👍
Huyo ndiye mh.Rais SSH.....
WATAMUELEWA TU.....
#Siempre SSH🙏