CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #61
soma hapa chini iko pia taarifa ya AfDBTz hakuna taasisi ya kuiamini hata moja wapika data wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soma hapa chini iko pia taarifa ya AfDBTz hakuna taasisi ya kuiamini hata moja wapika data wote
Kazi nzuri sana Mama Samia===
According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Tanzania (Tanzania Gross Domestic Product GDP ) limekua kwa kasi ya ajabu na kufikia 5.2% robo ya tatu ya mwaka kutoka 4.1% robo ya kwanza wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani 19|03|2021 takribani miezi tisa sasa,
Kwa lughal rahisi tunaweza kusema Rais Samia Suluhu Hassan kwa miezi hii michache amekuza Pato la nchi nzima kwa ukuaji "Chanya" wa Uchumi wa 5.2% wakati huu huu ambapo majirani zetu wakishuhudia ukuaji "Hasi " wa Uchumi wao,
Mtakumbuka,hali ilikuwa mbaya zaidi mwaka 2019 pale ambapo AfDB waliikadiria Tanzania Pato lake kushuka kutoka wastani wa ukuaji wa 7% hadi ukuaji wa 2.1% mwaka 2019|2020 na sababu ikiwa ni Covid 19,
Wakati huohuo baadhi ya nchi za Africa Mashariki walishuhudia ukuaji hasi wa Uchumi mathalani Rwanda ilirekodi ukuaji hasi wa -3.6% huku Kenya wakishuhudia ukuaji hasi wa -2.1% robo ya pili ya mwaka 2021 wakati Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan tulirekodi ukuaji Chanja wa 4.4%
Kuimarika kwa kasi kwa Utalii na uwekezaji mkubwa toka nje na kilimo vimetajwa kuwa ni sababu za kukua kwa kasi kwa Uchumi wa Tanzania hasa katika robo ya tatu ya mwaka 2021 uliofikia TZS 32 trilioni kutoka TZS 30.3 trilioni katika robo ya tatu ya mwaka 2020.
Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na 338%
Utalii katika robo hii ya tatu ( Q3 ) umechangia 18.1% kwenye Uchumi wa Taifa na hii inachagizwa zaidi utengenezaji wa "Royal Tour Film " itakayozinduliwa rasmi 22|04|2022 huku kilimo kikichangia 15.1%
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
DaaahEndeleeni kula buku 7/7 zenu tuacheni sisi walalahoi...Tumegeuka vituko awamu hii ati tuna laana!
Watu wepi waliohoi mkuu?!!Nyie mjiamini mtashangazwa!!!Hali nzuri labda kwa matajiri lakini watu wengi wapo hoi.
awesomefully,According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Tanzania (Tanzania Gross Domestic Product GDP ) limekua kwa kasi ya ajabu na kufikia 5.2% robo ya tatu ya mwaka kutoka 4.1% robo ya kwanza wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani 19|03|2021 takribani miezi tisa sasa,
Kwa lughal rahisi tunaweza kusema Rais Samia Suluhu Hassan kwa miezi hii michache amekuza Pato la nchi nzima kwa ukuaji "Chanya" wa Uchumi wa 5.2% wakati huu huu ambapo majirani zetu wakishuhudia ukuaji "Hasi " wa Uchumi wao,
Mtakumbuka,hali ilikuwa mbaya zaidi mwaka 2019 pale ambapo AfDB waliikadiria Tanzania Pato lake kushuka kutoka wastani wa ukuaji wa 7% hadi ukuaji wa 2.1% mwaka 2019|2020 na sababu ikiwa ni Covid 19,
Wakati huohuo baadhi ya nchi za Africa Mashariki walishuhudia ukuaji hasi wa Uchumi mathalani Rwanda ilirekodi ukuaji hasi wa -3.6% huku Kenya wakishuhudia ukuaji hasi wa -2.1% robo ya pili ya mwaka 2021 wakati Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan tulirekodi ukuaji Chanja wa 4.4%
Kuimarika kwa kasi kwa Utalii na uwekezaji mkubwa toka nje na kilimo vimetajwa kuwa ni sababu za kukua kwa kasi kwa Uchumi wa Tanzania hasa katika robo ya tatu ya mwaka 2021 uliofikia TZS 32 trilioni kutoka TZS 30.3 trilioni katika robo ya tatu ya mwaka 2020.
Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na 338%
Utalii katika robo hii ya tatu ( Q3 ) umechangia 18.1% kwenye Uchumi wa Taifa na hii inachagizwa zaidi utengenezaji wa "Royal Tour Film " itakayozinduliwa rasmi 22|04|2022 huku kilimo kikichangia 15.1%
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
soma hapa chini iko pia taarifa ya AfDB
Nakupenda sana TanzaniaTanzania post 5.2 percent economic growth in Quarter 3
Dar es Salaam.
===
The latest economic growth report by the National Bureau of Statistics (NBS) for the third quarter of 2021 (July and September) shows Tanzania’s Gross Domestic Product (GDP) rebounded to 5.2 percent from 4.4 percent recorded in the second quarter.
According to the figures, Q3 GDP increased to Sh32 trillion in 2021 from Sh30.3 trillion in 2020.
Some of the key factors that buoyed the national economy as highlighted in the report include tourism which saw an increase of tourists visiting the country in Quarter 3 to 243,565 compared to 72,147 tourists in the corresponding period in 2020, construction has contributed about 18.1 percent of the growth followed by agriculture which stood at 15.1 percent .
Other East African countries also registered positive GDP results following a contraction in Quarter 2. Rwanda has recorded growth of about 10.1 percent from negative growth of 3.6 percent, whereas Kenya recorded growth of 9.9 percent from negative growth of 2.1 in quarter two of 2021.
Tanzania is projected to maintain positive growth in Q4 stemming from the continued economic recovery efforts in different sectors.
Souce : The Citizen
Fanya kazi acha kujifanya msemaji wa Watanzania Meckyrich
Mkuu me niko vizuri kiuchumi nilipambana nikapata sina stress. Ila tunazungumzia maisha ya watanzania kwa ujumla na hatima ya vizazi vyetu mbele. Usicomment kishabiki au kitim angalia maisha ya watu wa chini yapoje kwa sasa???

Tangu baada ya Uhuru Nchi yetu bado ni masikini ndio maana nasema tufanye kazi mkuu wanguMkuu me niko vizuri kiuchumi nilipambana nikapata sina stress. Ila tunazungumzia maisha ya watanzania kwa ujumla na hatima ya vizazi vyetu mbele. Usicomment kishabiki au kitim angalia maisha ya watu wa chini yapoje kwa sasa???
Viva TanzaniaAccording to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Tanzania (Tanzania Gross Domestic Product GDP ) limekua kwa kasi ya ajabu na kufikia 5.2% robo ya tatu ya mwaka kutoka 4.1% robo ya kwanza wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani 19|03|2021 takribani miezi tisa sasa,
Kwa lughal rahisi tunaweza kusema Rais Samia Suluhu Hassan kwa miezi hii michache amekuza Pato la nchi nzima kwa ukuaji "Chanya" wa Uchumi wa 5.2% wakati huu huu ambapo majirani zetu wakishuhudia ukuaji "Hasi " wa Uchumi wao,
Mtakumbuka,hali ilikuwa mbaya zaidi mwaka 2019 pale ambapo AfDB waliikadiria Tanzania Pato lake kushuka kutoka wastani wa ukuaji wa 7% hadi ukuaji wa 2.1% mwaka 2019|2020 na sababu ikiwa ni Covid 19,
Wakati huohuo baadhi ya nchi za Africa Mashariki walishuhudia ukuaji hasi wa Uchumi mathalani Rwanda ilirekodi ukuaji hasi wa -3.6% huku Kenya wakishuhudia ukuaji hasi wa -2.1% robo ya pili ya mwaka 2021 wakati Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan tulirekodi ukuaji Chanja wa 4.4%
Kuimarika kwa kasi kwa Utalii na uwekezaji mkubwa toka nje na kilimo vimetajwa kuwa ni sababu za kukua kwa kasi kwa Uchumi wa Tanzania hasa katika robo ya tatu ya mwaka 2021 uliofikia TZS 32 trilioni kutoka TZS 30.3 trilioni katika robo ya tatu ya mwaka 2020.
Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na 338%
Utalii katika robo hii ya tatu ( Q3 ) umechangia 18.1% kwenye Uchumi wa Taifa na hii inachagizwa zaidi utengenezaji wa "Royal Tour Film " itakayozinduliwa rasmi 22|04|2022 huku kilimo kikichangia 15.1%
VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
Ahahaaaaa...haya fanya kujijibu mwenyewe kwa ile ID yako nyingine.
Hakuna wa kumpiga mbattaIshieni kuandika huu ujinga mitandaoni huku mtaani mtakula mbata za kutosha bz mambo ni tofauti kabisa.
Mkuu tuko pamoja sana, KaziiendeleeAhsante Kwa taarifa na inapendeza sana...