Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

Hii ina-translate vipi na wakulima wa Korosho kule kukosa masoko, mbolea kupanda, mfumuko wa Bei na mgao wa umeme wa kila kona huku gharama za kuunganishwa kurudishwa....

Bila kusahau kutumia muda kwa malumbano na kutupiana vijimaneno wakati mambo hayaendi....
 
Bei ya korosho inaamuliwa na soko la Dunia, Wewe unajua bei katika soko la Dunia leo ikoje?
 
Bei ya korosho inaamuliwa na soko la Dunia, Wewe unajua bei katika soko la Dunia leo ikoje?
Wakulima wa Korosho kupata au kukosa soko inaamuliwa na Dunia ila huu Uchumi wa kwenye Makaratasi anaupandisha Samia ?

Na mifumuko ya bei ya bidhaa za ndani ?
 
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…