Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

Kaziiendelee
 
Ngoja waje watunza legacy!!
 
Watunza legacy wanakuja!!
 
Kwa uchumi upi kwa mfano!! Mmeanza tena
 
Asante sana kwa kutujuza,wananchi,sisi tuko pamoja,na Rais wetu,Mungu ampe afya na umri mrefu,azidi kutuletea maendeleo
 
Asante sana,maendeleo tunayaona,wananchi tunafurahi,ukitujulisha.
 
Kwa chuki watu wanaweza mchukia Samia ila kwa Takwimu za Uchumi kwa miezi aliyokaa madarakani hakuna Rais aliwahi fikia .

Hongera Samia.Huo ukuaji umepelekea tuwe na mauzo makubwa na kuzishinda Nchi zote za Afrika Mashariki.





















 
Mtoa hoja ningependa nikualike uje huku Lingusenguse,halafu uniambie hizi number zako za ukuaji wa uchumi zinawiana vipi na hali halisi on the ground,pls karibu huku
Kuna nini huko Lingusenguse? Najua ni Mkoa wa Ruvuma ila usijari Samia kaongeza bajeti ya Tarura mara mbili ko mtafikiwa na barabara .
 
ID gani mjomba? Fanya kazi acha maneno maneno
Ukifanyakazi,maendeleo utayaona.Mungu ampe umri mrefu,Rais wetu,awe mzima wa afya,wananchi tuna unafuu mkubwa wa maisha,matunda ya kila aina yapo sokoni,kuanzia maembe,mananasi,ndizi mbivu,matunda ya damu,maparachichi,mapapai nk,ukichukuwa kwa jumla,ukiuza rejareja,faida nzuri unapata.Kuna mboga mboga za majani,vitunguu,viazi,karoti,pilipili,hoho,bamia,nyanya,njegere,nk zote biashara,faida tunapata wananchi.Samaki wa kumwaga,ukichukuwa baharini,ukileta nchi kavu,faida za kumwaga.
 
Mfumuko wa bei uko kwenye target za Serikali so hakuna shida,afu usikariri sio kila mfumuko wa bei ni hasara bali nibfaida Sana .

Sababu za mbolea kupanda zinajulokana,korosho ina soko tofauti na Mwaka Jana,hakuna Mgao wa umeme.

Acha wivu Na chuki kijana.
 
Ukuaji wa uchumi uende sambamba na demokrasia na uhuru wa kuhoji mambo yahusuyo taifa.

Katiba mpya ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…