Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri


Hakunz
Hakuna jipya mambo ni yaleyale Acha waendelee kula mema ya nchi ss tuendelee kujiajiri
 
Kanifurahisha kumchomoa jafo tamisemi 🤣
 
Balozi wa nini mkuu?? Sio ameteuliwa kua mbunge nadhani ni zile nafasi 10 alizonazo mh. SSH kama raisi.
Daah ila kutoka katibu kiongozi mpaka ubunge cheo sawa na babu tale 😂😂😂
tena mbunge asie na jimbo upo upo tu ...
Noma Sana.
 
Wizara ya afya iliihitaji sana mabadiliko awekwe mtu ambaye angalau anaamini juu ya sayansi ila ndio hivyo tena.
 
Kilichoonekana wazi ni kuwa Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan hana uchaguzi mpana kwa wabunge wa sasa kwa ajili ya teuzi za mawaziri na manaibu mawaziri.
Hayati JPM alitupelekea watu wa hovyo kabisa bungeni.
Alifanya hivyo kwa malengo yakuishi milele madarakani

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kocha angefanya tu sub na sio kuwabadilisha namba wachezaji huu ujinga ni copy ya tabia ya former haiwezi kuleta matokeo mazuri mfano jafo ni Bora wangemuacha pale na lile onyo lingemfanya awe makini na aogope kutubuliwa kumuamisha ni kumpa uhakika
 
Hah hah Jafo jamani
 
Ha haha umenikumbusha mbali sana hii

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…