Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.

Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...

''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''

Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.

MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI

Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI

Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais

Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji

Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango

Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria

Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje

Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara

Hakunz

Hakuna jipya mambo ni yaleyale Acha waendelee kula mema ya nchi ss tuendelee kujiajiri
 
Hili Baraza poyoyo kweli kweli. Nchemba na PhD ya kufanywa hana uwezo wala hadhi ya kuongoza Wizara nyeti ya fedha. JPM alimshughulikia vibaya sana Liberata Mulamula, lakini naona Samia amemfuta machozi.

Ninaamini Likwekile hasingefariki angemrudisha Wizara ya fedha. Kabudi akae chonjo, hiyo inaweza kuwa ndio njia ya kutokea, kurudi jalalani'?! Hata Jafo anaelekea mwisho wa enzi.

Bashiru ndio basi tena, ameambulia ubunge, balozi hawezi kuwa Mbunge. Tafsiri yake ni kuwa ubalozi umeyeyuka pamoja na ukatibu Mkuu kiongozi! Ummy bado yuko kazini. Hongera Rais Samia!
Kanifurahisha kumchomoa jafo tamisemi 🤣
 
Balozi wa nini mkuu?? Sio ameteuliwa kua mbunge nadhani ni zile nafasi 10 alizonazo mh. SSH kama raisi.
Daah ila kutoka katibu kiongozi mpaka ubunge cheo sawa na babu tale 😂😂😂
tena mbunge asie na jimbo upo upo tu ...
Noma Sana.
 
Kilichoonekana wazi ni kuwa Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan hana uchaguzi mpana kwa wabunge wa sasa kwa ajili ya teuzi za mawaziri na manaibu mawaziri.
Hayati JPM alitupelekea watu wa hovyo kabisa bungeni.
Alifanya hivyo kwa malengo yakuishi milele madarakani

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kocha angefanya tu sub na sio kuwabadilisha namba wachezaji huu ujinga ni copy ya tabia ya former haiwezi kuleta matokeo mazuri mfano jafo ni Bora wangemuacha pale na lile onyo lingemfanya awe makini na aogope kutubuliwa kumuamisha ni kumpa uhakika
 
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.

Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...

''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''

Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.

MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI

Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI

Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais

Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji

Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango

Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria

Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje

Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
Hah hah Jafo jamani
 
Alhaji Hussein Katanga
Aliwahi kuwa mkurugenzi wa manispaa kigoma Ujiji,Mwanza,kinondoni mwishoni alikua mtendaji mkuu wa mahakama

Show yake kubwa alipiga na Zitto ykabwe,uchaguzi wa meya Wa kigoma Ujiji,diwani wa viti maalum chadema alipotea dakika za mwisho,Zitto kabwe anamdaka terminal 1,Dar ,anamrudisha kigoma kwa ndege ya kukodi.Uchaguzi unatoka ngoma droo kwa Mara ya tatu hakuna meya.

Mizengo kayanza Pinda akiwa waziri wa Tamisemi anakwenda kigoma,anaamua chadema waongoze miaka miwili,ccm miwili.[emoji3]
Ha haha umenikumbusha mbali sana hii

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
1617197805650.jpeg

Kweli amepewa ili asije kutaabika maana KMK ni position kubwa sana akiachwa na njaa njaa mtaani ni hatari.
 
Back
Top Bottom