King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Yes atatoka tu mkuu wala usiwe na wasiwasi, ha-fit hiyo position.atamtoa aliyemweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes atatoka tu mkuu wala usiwe na wasiwasi, ha-fit hiyo position.atamtoa aliyemweka
Vp haaminiki unaona kama vile anaweza akasepa na benki zote nchini!!?Aisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
HakunzWabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
Hakuna jipya mambo ni yaleyale Acha waendelee kula mema ya nchi ss tuendelee kujiajiriWabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
Kanifurahisha kumchomoa jafo tamisemi 🤣Hili Baraza poyoyo kweli kweli. Nchemba na PhD ya kufanywa hana uwezo wala hadhi ya kuongoza Wizara nyeti ya fedha. JPM alimshughulikia vibaya sana Liberata Mulamula, lakini naona Samia amemfuta machozi.
Ninaamini Likwekile hasingefariki angemrudisha Wizara ya fedha. Kabudi akae chonjo, hiyo inaweza kuwa ndio njia ya kutokea, kurudi jalalani'?! Hata Jafo anaelekea mwisho wa enzi.
Bashiru ndio basi tena, ameambulia ubunge, balozi hawezi kuwa Mbunge. Tafsiri yake ni kuwa ubalozi umeyeyuka pamoja na ukatibu Mkuu kiongozi! Ummy bado yuko kazini. Hongera Rais Samia!
Uchonganishi ni upumbavu, acha!Hakuna mchagga hata mmoja,tumewakosea nini jamani?
Noma Sana.Balozi wa nini mkuu?? Sio ameteuliwa kua mbunge nadhani ni zile nafasi 10 alizonazo mh. SSH kama raisi.
Daah ila kutoka katibu kiongozi mpaka ubunge cheo sawa na babu tale 😂😂😂
tena mbunge asie na jimbo upo upo tu ...
Watulie sasaBashiru na Polepole Daa!!
Nasubiri post ya TPA ivi ile hatutumagi CV 😀😀😀😀.. maana toka jana nina type ma cv yangu..Kweli amepewa ili asije kutaabika maana KMK ni position kubwa sana akiachwa na njaa njaa mtaani ni hatari.
Alifanya hivyo kwa malengo yakuishi milele madarakaniKilichoonekana wazi ni kuwa Mh. Rais Mama Samia Suluhu Hassan hana uchaguzi mpana kwa wabunge wa sasa kwa ajili ya teuzi za mawaziri na manaibu mawaziri.
Hayati JPM alitupelekea watu wa hovyo kabisa bungeni.
Yupo sawa na Halima Mdee [emoji23][emoji23]Pengine Dr Bashiru akarudishwa kwenye chama? Kama KM?
Si hutambui uchaguzi uliomfanya awe Makamu?Nàmshukuru sana rais kwa kufagia na kusafisha ikulu
^Umuhimu uliobaki wa makabila sasa hivi ni kutambika tu, hamna kingine. Mnaongelea habari za makabila kwani mnataka kutambika!??? ~ JK NyerereHakuna mchagga hata mmoja,tumewakosea nini jamani?
Hah hah Jafo jamaniWabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
sidhani tutaona!Vp haaminiki unaona kama vile anaweza akasepa na benki zote nchini!!?
hamna bana mwigulu ni mchapa kazi mzuri sana...
Ha haha umenikumbusha mbali sana hiiAlhaji Hussein Katanga
Aliwahi kuwa mkurugenzi wa manispaa kigoma Ujiji,Mwanza,kinondoni mwishoni alikua mtendaji mkuu wa mahakama
Show yake kubwa alipiga na Zitto ykabwe,uchaguzi wa meya Wa kigoma Ujiji,diwani wa viti maalum chadema alipotea dakika za mwisho,Zitto kabwe anamdaka terminal 1,Dar ,anamrudisha kigoma kwa ndege ya kukodi.Uchaguzi unatoka ngoma droo kwa Mara ya tatu hakuna meya.
Mizengo kayanza Pinda akiwa waziri wa Tamisemi anakwenda kigoma,anaamua chadema waongoze miaka miwili,ccm miwili.[emoji3]
Kweli amepewa ili asije kutaabika maana KMK ni position kubwa sana akiachwa na njaa njaa mtaani ni hatari.
Kwa maana nyingine bashiru kanyang'anywa point 3 na kushushwa daraja.