Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
Sasa umeamua nini baada ya hiyo taarifa? Utaendelea kujipendekeza CCM kwa kuimba ule wimbo wenu "tuna muamini mama yetu[emoji28]".Au urudi kwenye default settings zako (kupitia upatu sana UFIPA)?Amweke nani wakati CCM ni walewale tu vilaza tupu.
gogoki kama Gogoki. 🤣🤣🤣
Ubobezi wa uchumi au ubobezi wa kujipendekeza? Kati ya viongozi hovyo kuwahi kuwa kwenye baraza huyu ni mmoja wapo. Na yule Kigwangala.Unazungumzia makaratasi ?
Labda ameamua tu kumweka kwa muda under observation, lakini pia ni matumizi mabaya ya madaraka, angetakiwa asimpe nafasi kabisamama i hope atashauriwa vizuri kuwa mwigulu hafai pale
Dini ibalance au isibalance , wote wanaowekwaga wanakuwaga wasenge tu wakishaanza kazi.Alisikika mlevi mmoja hapa bar
Katika wizara zote alizokaa hajawahi deliver chochoteMwigulu mbona hanaga shida ukiacha ka arrogance behavior yake
mpaka hapo kama una akili umeshajua ukweli ni upiSasa CAG akiweka ripoti ya hela walizoiba watengue tena?
Sasa kama ni Fundi Wa kupika data ili awafurahishe wakubwa huoni kama atamfurahisha sana mama!? Hatadumu vipi sasa!?Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo.
mama i hope atashauriwa vizuri kuwa mwigulu hafai pale
HahahahahahaBashiru anaenda kubishana na Msukuma Bungeni.
Asingechakachua si angeshinda Lowasa ambae na ni walewale tu?Huyu laana ya kuchakachua matokeo 2015 itaendelea kumtafuna,na hata ubunge safari hii ndiyo mwisho.
atamtoa soon mama ni msikivu akimuacha atakuja kujuta kote kafanya vizuri ila fedha mwigulu hapamfaiLabda ameamua tu kumweka kwa muda under observation, lakini pia ni matumizi mabaya ya madaraka, angetakiwa asimpe nafasi kabisa
CCM ni ileile ooh ni ileile[emoji444][emoji28][emoji28]Mama ameanza vibaya, karudisha wahuni wale wale..
Huyu kashajiharibia mwenyewe kabla hata kazi haijaanza.Ubobezi wa uchumi au ubobezi wa kujipendekeza? Kati ya viongozi hovyo kuwahi kuwa kwenye baraza huyu ni mmoja wapo. Na yule Kigwangala.
Anatosha na zaid, alishiriki hata kuandaa budget na mpango wa maendeleo wa mwaka huu wakati mh.mpango alipokua na ufhuru wa kiafya..yaani katika economists woote wa Tanzania Mwigulu ndo katosha pale?
kabisa mama atamtoa mwigulu ni biggest mistakeMwigulu ni mtu hatari sana hakustahili kuwemo kwenye hii cabinet mpya.
Itakuwa ni Muungano na Mazingira….Kusikojulikana!
🤣🤣
Unajua maana ya kuvunja Baraza.?Hapo sawa ,baraza lazima livunjwe ,watu walikuwa wanatetea uvunjwaji wa katiba waziwazi.
Lets hope kwamba atamtoaatamtoa soon mama ni msikivu akimuacha atakuja kujuta kote kafanya vizuri ila fedha mwigulu hapamfai