Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

mama i hope atashauriwa vizuri kuwa mwigulu hafai pale
Labda ameamua tu kumweka kwa muda under observation, lakini pia ni matumizi mabaya ya madaraka, angetakiwa asimpe nafasi kabisa
 
Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo.
Sasa kama ni Fundi Wa kupika data ili awafurahishe wakubwa huoni kama atamfurahisha sana mama!? Hatadumu vipi sasa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ameamua tu kumweka kwa muda under observation, lakini pia ni matumizi mabaya ya madaraka, angetakiwa asimpe nafasi kabisa
atamtoa soon mama ni msikivu akimuacha atakuja kujuta kote kafanya vizuri ila fedha mwigulu hapamfai
 
Ubobezi wa uchumi au ubobezi wa kujipendekeza? Kati ya viongozi hovyo kuwahi kuwa kwenye baraza huyu ni mmoja wapo. Na yule Kigwangala.
Huyu kashajiharibia mwenyewe kabla hata kazi haijaanza.

Mwigulu hawezi kuwa na msaada wowote kwake ni heri angetafuta mtu nje ya bunge kama hakukuwa na mtu mwingine mwenye sifa za kushika hiyo ofisi.
 
yaani katika economists woote wa Tanzania Mwigulu ndo katosha pale?
Anatosha na zaid, alishiriki hata kuandaa budget na mpango wa maendeleo wa mwaka huu wakati mh.mpango alipokua na ufhuru wa kiafya..
Anafaa na anaijua wizara
 
Back
Top Bottom