Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

issue ya bashiru kuondolewa ktk nafasi ya ukatibu mkuu, naweza sema kwa asilimia kubwa imechangiwa na kelele za bwana fulani wa twitter.

kwa wiki mbili mfululizo, ilikuwa hayapiti masaa bila ku tweet namna ambavyo bashiru ameshiriki kukwapua mabilioni ya fedha toka bank kuu.

niwashauri mataga msiwe mna underestimate information huyo mtu. sio kila anacho tweet ni uzushi.
Serikali haifanyi kazi kwa mtindo uliouelezea hapo.
 
hii bigest mistake mama mtoe mwigulu hapo anatafuta urais huyo watu wa TISS mshaurini mama mwigulu atamgalimu
Anaenda kushirikiana na Katibu wa Wizara ya Fedha Dotto James
 
Tuko awamu ya sita. Raisi ni tofauti na KM ni tofauti. Huoni mabadiliko hapo ww?
Ayo mabadiliko uliyosema wewe ni ya serikali.
Ila kwenye U-team bado wapo vilevile,team zote zipo na wachezaji wakiwa full ngwamba.
 
Hakuna maajabu kwa baraza hili. Wapigaji wamewekwa mguu sawa
 
Jamani mama tuwekee hata mchaga mmoja hapo wizara ya fedha
 
Back
Top Bottom