Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Serikali haifanyi kazi kwa mtindo uliouelezea hapo.
 
hii bigest mistake mama mtoe mwigulu hapo anatafuta urais huyo watu wa TISS mshaurini mama mwigulu atamgalimu
Anaenda kushirikiana na Katibu wa Wizara ya Fedha Dotto James
 
Tuko awamu ya sita. Raisi ni tofauti na KM ni tofauti. Huoni mabadiliko hapo ww?
Ayo mabadiliko uliyosema wewe ni ya serikali.
Ila kwenye U-team bado wapo vilevile,team zote zipo na wachezaji wakiwa full ngwamba.
 
Hakuna maajabu kwa baraza hili. Wapigaji wamewekwa mguu sawa
 
Jamani mama tuwekee hata mchaga mmoja hapo wizara ya fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…