Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Naona kawarudisha kwenye maeneo yanayoendana na taaluma zao........

Kwa mbali Kiroho changu cha kwanini kinaniambia angewashusha wote tu tuugulie maumivu sawa😂
 
Makundi ya ccm hayamuelewi mama mpaka muda huu [emoji16][emoji16]
CCM wengi wanaelewa, shida ni baadhi ya watu wa upinzani waliotaka kujipendekeza, hapi zamani nilikuwa naona hadi wana CDM wamekomaa kusema "Tuna Imani na wewe mama...Ooh mama hawezi kutuangusha...Ooooh Sasa team msoga zamu yao[emoji28]"
 
1617210318447.png

1617210353052.png

1617210368878.png

1617210387474.png


PIA SOMA>> News Alert: - Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri
 
Samia naona mwelekeo wake nae si mzuri ngoja tutazame itakuwaje
 
Wakuu kwenye viwanda na biashara aliyepo ni mtu sahihi kweli maana nayo ni wizara muhimu sana kimaendeleo lkn pia maisha ya watu
 
Uteuzi wa Nchemba personal he is not ideal candidate, kwa mambo ya nje kumtoa Prof pale ni vizuri zaidi

OR-TAMISEMI mama angemteua Dkt.Gwajima .D . Angeenda kuwachezesha mchaka mchaka
Hautupendi wewe hahahaha
 
Poleni,Eti Wizara apewe Kimei,wapiii. Naona roho zinawauma hatari. Kina Biteko wanapeta tu.
Msikie na huyo chakubimbi,hujui kuwa Bashiru ndiyo aliandaliwa abakie karibu na mkulu ili amshawishi muendeleze utawala wenu wa kibashite
 
Ndugu zangu habarini za wakati huu...naona unabii unaenda kutimia kwa taifa hili tena utatimia kwa speed kubwa mno..Watumishi wa Mungu kila mtu kwa imani yake ametaka wazi tuliombee taifa lisije likaingia kwenye machafuko .kwa uteuzi huu wa Leo TUZIDI KUIOMBEA IKURU ,.ila next tunaomba wasitufiche kinacho endelea ikulu ili tuombe sana.
 
Back
Top Bottom