Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Ngano unaweza tengeza mkate,chapati,maandazi lakini ngano ni ileile,unachobadili ni aina ya matumizi ya ngano.
 
Wote ni winners as long as bado wanakula mshahara si kama vijana wale wanaosota mtaani mwaka wa sita huu bila ajira ambao kwangu mimi ndio true loosers.
Nb: Ni baraza si balaza
 
Chuoni kulikuwa na course za Option. Hizi kozi zisipochaguliwa na wanafunzi the loser was the tutor.
 
Ndugu zangu habarini za wakati huu...naona unabii unaenda kutimia kwa taifa hili tena utatimia kwa speed kubwa mno..Watumishi wa Mungu kila mtu kwa imani yake ametaka wazi tuliombee taifa lisije likaingia kwenye machafuko .kwa uteuzi huu wa Leo TUZIDI KUIOMBEA IKURU ,.ila next tunaomba wasitufiche kinacho endelea ikulu ili tuombe sana.
Khaaa!
Unabii upi?
 
mkuu tuna makabila mangapi nchi hii, ukisema tubalance makabila kwenye baraza la mawaziri unadhani hilo baraza hilo litakuwa kubwa kiasi gani? Au unadhani wachaga sio watanzania wa kawaida wanastahili kuchukuliwa kwa upekee kuliko makabila mengine? halafu unaweza kukuta wewe pia ni kiongozi au unandoto ya kuwania uongozi ! ACHA UKABILA

HAWEZEKANI MUUMBA TATIZO AKAWA MUAROBAINI WA UTATUZI.
IKO HIVI: NCHI na nyumbani kwangu ni yetu sote ILA tofauti zetu zinapaswa ZITUUNGANISHE zaidi zisitoe nafasi kwa wapumbavu, mabaradhuli (wapo wengi mno) NAFASI 1
 
Inasikitisha sana Mkuu. Baada ya madudu yao ya miaka mitano wengi tulitegemea wabadili mwelekeo lakini hawa wahuni hawataki kuelewa.
Na mimi nilitegemea wabadili mwelekeo kweli! Yaani waziri wa fedha wampe Mr. Mbowe, mambo ya nje Mr. Lissu - waziri mdogo Lema (wanapenda kukaa nje)
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani. Nenda katafute watoto wenzio wa kucheza nao.
Na mimi nilitegemea wabadili mwelekeo kweli! Yaani waziri wa fedha wampe Mr. Mbowe, mambo ya nje Mr. Lissu - waziri mdogo Lema (wanapenda kukaa nje)
 
Ndugu zangu habarini za wakati huu...naona unabii unaenda kutimia kwa taifa hili tena utatimia kwa speed kubwa mno..Watumishi wa Mungu kila mtu kwa imani yake ametaka wazi tuliombee taifa lisije likaingia kwenye machafuko .kwa uteuzi huu wa Leo TUZIDI KUIOMBEA IKURU ,.ila next tunaomba wasitufiche kinacho endelea ikulu ili tuombe sana.

Wewe ni fala
 
Back
Top Bottom