Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Sep 19, 2021 #761 kalonji said: Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao Click to expand... Ilienda wapi? Walikamiliasha mradi gani?
kalonji said: Miradi mingi ilienda kwa biti la jiwe kwa wakandarasi kupigwa biti na kulazimika kutumia pesa zao Click to expand... Ilienda wapi? Walikamiliasha mradi gani?
mwanawao JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 3,192 Reaction score 5,743 Sep 19, 2021 #762 Wasukuma bado tu hamjashtuka hii nchi imerudi kwa watanzania. Mambo ya upendeleo yalishapitwa! Maana mlishajiona miungu watu! Ila.ashukuruwe sana Mungu wa Mbinguni aliyetuepusha na hili janga! Baba shukrani zijae kwako tele, na utukufu ukurudie wewe mwenyewe!!
Wasukuma bado tu hamjashtuka hii nchi imerudi kwa watanzania. Mambo ya upendeleo yalishapitwa! Maana mlishajiona miungu watu! Ila.ashukuruwe sana Mungu wa Mbinguni aliyetuepusha na hili janga! Baba shukrani zijae kwako tele, na utukufu ukurudie wewe mwenyewe!!
P Pagan Amum JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 1,932 Reaction score 4,403 Sep 19, 2021 #763 Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.
Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi.
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Sep 19, 2021 #764 Nazgur said: Mbona bandali imesimama Click to expand... Bandari ipi imesimama?
Nazgur JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3,729 Reaction score 2,851 Sep 19, 2021 #765 Lord denning said: Bandari ipi imesimama? Click to expand... Ya mtwara pesa hakuna.
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Sep 19, 2021 #766 Nazgur said: Ya mtwara pesa hakuna. Click to expand... Weka ushahidi
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Aug 2, 2022 #767 King Kong III said: Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo. Click to expand... JF never boring Erythrocyte
King Kong III said: Amechemka sana Mwigulu anaenda kutuingiza kwenye mdororo mkubwa wa uchumi,Wizara ya fedha inahitaji mtu mwenye maadili na weledi wa kutosha,Mwigulu ni mtu wa kupika data kufurahisha wakubwa...hakika hawezi kudumu hapo. Click to expand... JF never boring Erythrocyte
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Aug 2, 2022 #768 Pagan Amum said: Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi. Click to expand... Shujaa wa Afrika anajulikana ni Gadafi tu.
Pagan Amum said: Nakubaliana na wewe aisee... Nina mradi wangu toka may mpaka leo sijalipwa. Kipindi cha Shujaa wa Africa nilikuwa nalipwa kila mwezi. Click to expand... Shujaa wa Afrika anajulikana ni Gadafi tu.
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,151 Reaction score 6,261 Oct 3, 2022 #769 Sawa