kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
bigest mistake ni kumludisha mwigulu wizara ya fedha mara mia angemleta sada mkuya mwigulu anatafuta urais na ndoto zake zinaenda kutimia atamsumbua sana mamaAlisikika mlevi mmoja hapa bar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bigest mistake ni kumludisha mwigulu wizara ya fedha mara mia angemleta sada mkuya mwigulu anatafuta urais na ndoto zake zinaenda kutimia atamsumbua sana mamaAlisikika mlevi mmoja hapa bar
Ameteuliwa kuwa mbunge...lakin kwa sasa ana inshu...yaan yuko reserve tuu[emoji41]Ina maana bashiru atakuwa raia wa kawaida? Baada ya kutolewa chamani, sasa hata serekalini katolewa!??
Nilisikia jamaa ni muizi sanaaa!!
Kama mama angekua hamtaki angemuacha tu hata viti maalum asingepewa,kwani nani wa kumzuia.Na timu Veronica France mpoo! Mbeba maono wenu kaambulia ubunge wa viti maalum kama akina Mzee Mdee vile,masikini kala mshahara mmoja tu wa u KMK.
Baada ya ukabila utauliza mbona hakuna wa dini yetu,kwani akiwa mchaga ndio atakulishia watoto wako?^Umuhimu uliobaki wa makabila sasa hivi ni kutambika tu, hamna kingine. Mnaongelea habari za makabila kwani mnataka kutambika!??? ~ JK Nyerere
Ndio kawekwa sasa hapo tuone taaluma yake na sio vijembe instagramMwigulu ni mbobezi wa uchumi na mambo ya Fedha. Mimi nashangaa mnaosema hafit. That guy is so competent
gogoki kama Gogoki. 🤣🤣🤣
Rais ana haki kumuondoa Jaffo TAMISEMI,alishindwa kabisa kukomesha upigaji kwenye Halimashauri.Ila Umi naye sijui kama ataweza,TAMISEMI ilihitaji mtu very strong,sioni quality hii kwa Umi.Nchemba ni wazi viatu vya Mpango havimtoshi,nadhani tulihitaji a better person,hii ni Wizara nyeti sana.Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
Huyu mwigulu mimi simwamini kabisa aisee.....Bashiru na polepole kisiasa ndio wameishia hapo, ni wabunge wasio na majimbo na 2025 kupata majimbo ni mbinde na kuendelea kuteuliwa ni mbinde pia. Hizo ni zawadi na ni mahesabu pia.
Tumpeni nafasi Mwigulu.
Ujafa ujaumbika ....daaa pole kwakeHyo jafo hahaha alivimba sana na magu
Sasa kama wewe mwanaccm mwenzake humuelewi unafhani sisi wengine tutamwelewa?Mbona hata haeleweki huyu mama
Wizara ya Fedha imetupwa jalalani.Rais ana haki kumuondoa Jaffo TAMISEMI,alishindwa kabisa kukomesha upigaji kwenye Halimashauri.Ila Umi naye sijui kama ataweza.Nchemba ni wazi viatu vya Mpango havimtoshi,nadhani tulihitaji a better person,hii ni Wizara nyeti sana.
kuna wizara nyingine wamebaki hivyo hivyoHussein bashe na faustine ndungulile vp?
Dharau vipi alizaliwa ikulu?aache mambo yake arudi kufundisha na vp kuhusu nafasi yake ya katibu mkuu CCM kama una uelewa tujuzane tafadhaliHuyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi.
Kipi sasa kilichobadilika?Hizi team zitawaua. Utawala umebadilika mtapoteana.