Enzi hizo chadema Wana watu sio sasa matusi tu
Katanga kamrusha diwani Dar,ile anatua tu anakutana NKM bara,kalipia ndege hiyo hiyo kesho uchaguzi ngoma ikalala Tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi hizo chadema Wana watu sio sasa matusi tu
Haaminiki kabisa mkuuHuyu mwigulu mimi simwamini kabisa aisee.....
CV ya huyu mama ni nzuri kuwa waziri wa Mambo ya nje na ni mzoefu kuliko le profeseri wa mia kendaC.V na uzoefu pamoja pia ubobezi wa Balozi Dr. Liberata Rutageruka Mulamula, ikilinganishwa na ya Prof. Palamagamba Kabudi tunawaachia wana great thinkers wa JamiiForums mjadili.
Mwigulu ni mbobezi wa uchumi na mambo ya Fedha. Mimi nashangaa mnaosema hafit. That guy is so competent
Watakuwa Wana mkumbuka mwendazake Sana aisee,Tatizo ana mdomo mrefu kama chiriku... Bado polepole
Asipokuelewa, pls NITAGI 🙂 nimsomeshe zaidi 🙂limevunjwa wapi? hivi akili huwa mnaweka wapi?
kasema anafanya mabadiliko baada ya kumtoa mpango....
katiba ulivyoandikiwa na TLS na CDM ulidanganywa...kale malimau
Hao waliapa kwa rais kama taasisi na sio mtu, ebo!!!
Mwigulu mm naamini hana tatizo saana,ila alibadilishwa tabia na mwenda zake.Aisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!
Kwani ulidhani atamteua Mbowe?Mama kaniharibia Sana ule utamu wa kuniletea Katanga! Mwigulu, Jaffo na Kabudi wa kazi gani Tena? Na kule afya mbona umewaacha wale comedians? Mama hebu funga macho utafakari kwa kina juu ya hao pamoja na pm na ikikupendeza piga chini hao uanze upya na timu mpya yenye ueledi na adabu ya kazi wasioiwazia nafasi yako ya urais mwaka 2025!
hiyo ya ubalozi inaakaje?...anasubiri kupangiwa kituo cha kazi?Angalau kaambulia ubunge na anabaki kuwa Balozi. Hivi vyeo ni dhamana!
Hii kitu sijui kama aliitarajia
kwa kweliWizara ya Fedha kapewa Mwigulu nchemba. Tumekwishaaa
Bashiru kapewa ubunge ili aendelee kuwa katibu mkuu wa ccm....Balozi wa nini mkuu?? Sio ameteuliwa kua mbunge nadhani ni zile nafasi 10 alizonazo mh. SSH kama raisi.
Daah ila kutoka katibu kiongozi mpaka ubunge cheo sawa na babu tale 😂😂😂
tena mbunge asie na jimbo upo upo tu ...
Kwa maana nyingine bashiru kanyang'anywa point 3 na kushushwa daraja.
Sasa hivi ana uo ubaloz......yaan wakisimama na Babu tale Ni sawasawa!!!hiyo ya ubalozi inaakaje?...anasubiri kupangiwa kituo cha kazi?
hii bigest mistake mama mtoe mwigulu hapo anatafuta urais huyo watu wa TISS mshaurini mama mwigulu atamgalimuWizara ya Fedha kapewa Mwigulu nchemba. Tumekwishaaa
Hiyo kwa kizungu inaitwa Horizontal drop...!!Huyu Mama Ana Kusudi Sana Nadhani Hataki Kufanya Kazi Na Mwalimu Wangu Bashiru, Kamteua Kuwa Mbunge Halafu Kamwacha Domant Tu.. Daaaah Dharau Hizi.
Shida ya Mwigulu anatumia utumbo kufikiri.... nadhani Rais ndio mwenye dira maana ujinga waliokuwa wanafanya walikuwa wanacheza Ngoma according the tune of jiweMwigulu mbona hanaga shida ukiacha ka arrogance behavior yake
Duh,Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema...
''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la Mawaziri na nitatangaza hapahapa, zege halilali''
Baadhi ya Wizara zimefanyiwa Mabadiliko na nyingine zimebaki kama zilivyokuwa.
MAJINA YA MAWAZIRI WANAOUNDA BARAZA LA MAWAZIRI
Ummy Mwalimu - Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mohammed Mchengelwa - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Selemani Jafo - Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Geoffrey Mwambe - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji
Dkt. Mwigulu Nchemba - Waziri wa Fedha na Mipango
Profesa Palamagamba Kabudi - Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Balozi Liberata Mulamula - Waziri wa Mambo ya Nje
Prof Kitila Mkumbo - Waziri wa Viwanda na Biashara
Jamaa enu akina nani? CHADEMA?Naona jamaa yetu Hussein katanga kaingia ikulu
Makamba jr mbona anapigwa spana kote kote? meko na ssh wote wanampa za chembe,inaonekana Jr anaogopwa sana kuwapiku nafasi yao ya urais.Makamba Jr. wizara gani?