Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Ina maana bashiru atakuwa raia wa kawaida? Baada ya kutolewa chamani, sasa hata serekalini katolewa!??
Nilisikia jamaa ni muizi sanaaa!!
Anaweza gata asiwe raia akawa mfungwa kabisa
 
Hiyo wizara ni ngumu sana asipoitendea haki na kuendeleza blah blah zake za kupika data, Akitumia usomi wake vizuri tunaoamini anao ataweza, asipoweza hatochukua round hapo. Sio
muda wote wakuwaza kuwakomoa CDM. CDM hawana nchi na wana mbunge mmoja tu kwa mujibu wa uchaguzi wa 2020.
Hii inaitwa usiempenda kanunua gari[emoji23]
 
Back
Top Bottom