Malume
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,016
- 1,886
Anaweza gata asiwe raia akawa mfungwa kabisaIna maana bashiru atakuwa raia wa kawaida? Baada ya kutolewa chamani, sasa hata serekalini katolewa!??
Nilisikia jamaa ni muizi sanaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza gata asiwe raia akawa mfungwa kabisaIna maana bashiru atakuwa raia wa kawaida? Baada ya kutolewa chamani, sasa hata serekalini katolewa!??
Nilisikia jamaa ni muizi sanaaa!!
bigest mistake mama afanye mabadiliko hapa then atakuja kunishukuru
picha yakeKatibu mkuu kiongozi - Hussein yahya Katanga (balozi yupo japani)
... Ka deliver wapi? au wee unadanganywa na vyeti vyao tuMwigulu ni mbobezi wa uchumi na mambo ya Fedha. Mimi nashangaa mnaosema hafit. That guy is so competent
kuimba kupokezanaDuuh Bashiru cheo kimeshuka
Hii inaitwa usiempenda kanunua gari[emoji23]Hiyo wizara ni ngumu sana asipoitendea haki na kuendeleza blah blah zake za kupika data, Akitumia usomi wake vizuri tunaoamini anao ataweza, asipoweza hatochukua round hapo. Sio
muda wote wakuwaza kuwakomoa CDM. CDM hawana nchi na wana mbunge mmoja tu kwa mujibu wa uchaguzi wa 2020.
Wako hoi[emoji23].Ngoma ile Ile, ha haaaaaa, Fedha zote kapewa mwigulu, makamba vipi timu Twitter
Mwigulu apewe nafasi yanini?Bashiru na polepole kisiasa ndio wameishia hapo, ni wabunge wasio na majimbo na 2025 kupata majimbo ni mbinde na kuendelea kuteuliwa ni mbinde pia. Hizo ni zawadi na ni mahesabu pia.
Tumpeni nafasi Mwigulu.
Mwigulu hajawahi kudeliver chochote kwenye wizara yoyote aliyokaa zaidi ya kupiga mikasi tweets za kina Zitto... Ka deliver wapi? au wee unadanganywa na vyeti vyao tu
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Kenda kibao ,mara anataja tisini Tena😁😁Huyu mzee wa elfu moja mia Kenda ana ndele sana
Tuko awamu ya sita. Raisi ni tofauti na KM ni tofauti. Huoni mabadiliko hapo ww?Kipi sasa kilichobadilika?
mama kafanya mistake nazani ataregebisha soon mwigulu hafai wizara ya fedha anatafuta urais yule lazima aje kum snichyaani katika economists woote wa Tanzania Mwigulu ndo katosha pale?
Unazungumzia makaratasi ?Mwigulu ni mbobezi wa uchumi na mambo ya Fedha. Mimi nashangaa mnaosema hafit. That guy is so competent
[emoji1]Anaweza gata asiwe raia akawa mfungwa kabisa
Kati ya kosa kubwa alilofanya ni hili la Mwingulu. Jamaa ni mjinga fulani tu hana uwezo wa kuongoza hata kidogo.hii bigest mistake mama mtoe mwigulu hapo anatafuta urais huyo watu wa TISS mshaurini mama mwigulu atamgalimu
Itakuwa anatest mitambo tubigest mistake mama afanye mabadiliko hapa then atakuja kunishukuru
Hii statement imetolewa na Kiongozi gani wa ChademaChadema wanasema Mwiguli ndo mtuhumiwa wa kwanza kwenye shambulizi la Lisu.
Lisu ataumia sana kuona Mwigulu anazidi kupaa.
mama i hope atashauriwa vizuri kuwa mwigulu hafai paleShida ya Mwigulu anatumia utumbo kufikiri.... nadhani Rais ndio mwenye dira maana ujinga waliokuwa wanafanya walikuwa wanacheza Ngoma according the tune of jiwe
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app