Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Inamaana Bashiru ali leo tarehe 31 ndio mwisho wa jina lake kusoma kwenye payrol ya serikali sio,
 
Hongera Mhe. Rais kwa Uteuzi makini.
kwa mwendo huu na hakika Mhe. Rais ataenda vizuri sana Mungu azidi kukupa Hekima na Busara ili utuongoze vyema.
 
Dr. Bashiru wangemwacha kule kwenye chama Kama Katibu Mkuu kuliko kumsumbua sumbua mara huku, Mara kule.
Ukiona unasumbuliwa sumbuliwa ujue bado muda kidogo unatupiwa virago
 
Nakupongeza Dr, L. M. Mchemba kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha.
Naamini elimu na weledi wako sasa utaulekeza katika fani ulio bobea.

Mungu akujalìe hekima na uadilifu wa maamuzi yako katika nafasi hiyo.
 
Sina yakuandika mengi ila kwakweli si kwakumpa miskafu ya bendera machenchi yetu dahhhh...

Naona mchana hakuna maana kulipo pambazuka tulifurahi mara ghafla kiza usiku umeingia....

Haya Mama kila la heri kama ni maamuzi yako mwenyewe🚶🚶🚶🚶
 
Nakupongeza Dr, L. M. Mchemba kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha.
Naamini elimu na weledi wako sasa utaulekeza katika fani ulio bobea.

Mungu akujalìe hekima na uadilifu wa maamuzi yako katika nafasi hiyo.
Bhange mbaya sana.
Ulicho andika kwenye kichwa cha habari tofauti na ulicho kiandika chini.
Naona umepiga ya koromitje
 
Huyu kashajiharibia mwenyewe kabla hata kazi haijaanza.

Mwigulu hawezi kuwa na msaada wowote kwake ni heri angetafuta mtu nje ya bunge kama hakukuwa na mtu mwingine mwenye sifa za kushika hiyo ofisi.
Ila nilivyomsikiliza na ninavyohisi ameona aibu kufanya mabadiliko makubwa na kuacha wengine (japo siyo dalili nzuri). Anaona kama akibadilisha na kuacha wengi ataeleweka vibaya. Akizoea hicho kiti anaweza kuja kufanya mabadiliko makubwa, may be. Ila kwa kumuweka Mwingulu fedha amechemka sana. Yule jamaa ni ''fix'' mmoja anayeishi kwa ujanja ujanja tu kama Kigwangala. sehmu ambayo amaepatia ni kumwondoa Kabudi wizara ya mambo ya nje. Na kwa Bashiru naona kuna kitu la sivyo asingebadilishwa ukitilia maanani kateuliwa juzi juzi tu.
 
yani watamsumbua sana mama na atakuja kumchallenge kwenye urais hata amini mwigulu ni snake
Mkuu mara ya 9+ leo unaandika kuchukizwa na uteuzi wa Mh. Mwigulu....hebu mpe nafasi kidogo tuone utendaji wake!
 
Bashiru kasababisha watu hadi leo hawajamaliza masters zao,wakati anapewa kukagua mali za CCM alikua hataki kuachia u lecture alienda nao mpaka alivyoteulowa katibu,alafu anawapiga danadana watu anaowa supervise
 
Ti ti ti Maisha ni haya,
Ti ti ti, Maisha ni haya,
Kunyosha viungo, vya kila namna,
Kifua na Mabega, mgongo na shingo.

Nampongeza rais wa JMT mheshimiwa SSH kwa kunyoosha viungo vya kila namna.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Shule ya msingi Muungano
 
Back
Top Bottom