Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PS hata akibadilishwa hawezi kuwa Mafuru..Nakumbuka pamoja na yule wa NBC anakuwa PS ,Mkeka wa MKM umechanika ngoja tusubiri mkeka wa PS.
Kuna uchunguzi unaoendelea kati ya BOT na Hazina na yeye ndio yuko katikati ya huo uchunguzi hivyo asingeweza ondolewa, hata hivyo nadhani it is a question of time before hao makatibu wakuu nao wakabadilishwa.
PS hata akibadilishwa hawezi kuwa Mafuru..
Du umekunywa komoni ukalewa nini? Kwani wanaolazwa hospital wote wamenyweshwa sumu? Mbona unajiweka low namna hii?Mzee Mangulla alilazwa hospitali halafu unasema ni uongo, wewe una akili nzuli kweli? Naona una mwezi mchanga!
I second!Minadhani maborn town ndiyo wanao ongoza nchi, sasa siku zote maborn town hawapendi kujionyesha wazi hasa kile wanacho lenga. wenyewe wana target zao kwahiyo wametanguliza migambo kwanza ili wakajifie huko then wao watajitokeza, vile hivi sasa mzimu wa Marehemu bado upo na raia bado akili hazijakaa sawa.
..mtoa hoja analaumu uteuzi wa Dr.Mwigulu[ mvaa skafu] kuwa waziri wa fedha.
Hahaha... Tusubiri majibu atakayokuwa anatoa bungeni, labda mwendazake alimharibu reasoning yake akawa anacheza kufuata midundo yakeKuna siku zitamdondoka ofisini hapo ndiyo itakuwa mshike mshike.
Sina yakuandika mengi ila kwakweli si kwakumpa miskafu ya bendera machenchi yetu dahhhh...
Naona mchana hakuna maana kulipo pambazuka tulifurahi mara ghafla kiza usiku umeingia....
Haya Mama kila la heri kama ni maamuzi yako mwenyewe[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Jamani mama tuwekee hata mchaga mmoja hapo wizara ya fedha
Pamoja na kwamba simpendi wala simkubali Mwigulu, Ila kama akiamua kufanya kazi kwa kutumia weledi na elimu yake basi sina shaka nae..Huyu kashajiharibia mwenyewe kabla hata kazi haijaanza.
Mwigulu hawezi kuwa na msaada wowote kwake ni heri angetafuta mtu nje ya bunge kama hakukuwa na mtu mwingine mwenye sifa za kushika hiyo ofisi.
Kuna vyeo vyengine ni kutafutiana kushikana mashati..[emoji1787]
aaah bana huoni ameondoka ndio bank inayumbaPale kwenye kibubu Prof. Mkenda tu ;huyo mwingine hafai alikwisha haribu sana CRDB!!!
Muulize mama mi nitajuaje sasa mambo ya hivyoKwa nini vyeo nyeti vyenye maslahi mapana sana kwa nchi vitumike kushikana mashati?
Sio kazi rahisi, utadanganya watanzania wenzako ila kaa ukijua WB na IMF ipo na inafatilia kila trend. Pia ukipika Data reports za BOT zitakuumbua tu. BOT wanafanya kazi independently..Mkuu kumanipulate data ni rahisi sana ili mradi ujue Trends/KPIs zake.