FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Anaweza akabaki, ila binafsi ningependa abadilishwe. Awekwe Mchaga pale 😂Subiri kwanza tuone ,PS D.J lazima aondolewe pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza akabaki, ila binafsi ningependa abadilishwe. Awekwe Mchaga pale 😂Subiri kwanza tuone ,PS D.J lazima aondolewe pale.
PALE MAMA KASHAURIWA VIBAYA. YOU NEED A SOBER PERSON KAMA PROF. MKENDA. MWIGULLU HAWEZI KUENDANA NA HAO WANAOITWA WAHISANI!! HE IS CRUDE WITH NO ETIQUETTE . ANGEFAA PENGINE KWENYE WIZARA YA UTAMADUNI LAKINI SIO FEDHA!!!
Naam. Kwa sababu pale haendi kutibu watu bali kusimamia wizara ifanye kazi kwa weledi na si kuaminisha watu vitu ambavyo havina ithibati ya kisayansi. Yeye pamoja na naibu wake.Kwahiyo unataka kusema huyu Dr.gwajima sio mtu sahihi kwahyo secta aliyo somea na kihudumu muda mrefu
Ataililia taaluma yakeKwa wenye upeo wa juu wa kuelewa, tumeshajua nini kinaendelea juu ya bashiru, kutoka katibu mkuu kiongozi, na kuwa mbunge tu, ni suala la muda tu
Sina yakuandika mengi ila kwakweli si kwakumpa miskafu ya bendera machenchi yetu dahhhh...
Naona mchana hakuna maana kulipo pambazuka tulifurahi mara ghafla kiza usiku umeingia....
Haya Mama kila la heri kama ni maamuzi yako mwenyewe🚶🚶🚶🚶
Angalau Sasa tunakumbukwa.Katibu mkuu kiongozi - Hussein yahya Katanga (balozi yupo japani)
hivi mshahara wa KMK si above 10m auKatibu mkuu kiongozi aliyepokea mshahara mmoja tu katika historia
Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
..Nilitegemea wangemuondoa Naibu Waziri ambaye ameonyesha kuwa na uwezo mdogo.
..combination ya waziri na naibu waziri ktk wizara ya fedha kwa kweli inatia mashaka makubwa.
Mwigulu hakustahili kukabidhiwa hazina ya taifa,ni janga.jazia jazia , tupate ulichomanisha kwa undani
Yani mama kateleza si kidogo.Aisee hapa naona mama kama kateleza Mwigulu wizara ya Fedha? mbona simuamini!
Kalitaja bunge la katiba wakati sasa ni linaloendelea Dodoma ni bunge la bajetiNdio
Katamka katiba mpya 🙏 hahahahah imeisha hiyooo.
Ndiyo hivyo lkn huwezi kumlinganisha na mzaramoMkwere nae kisha choka hana nguvu tena sasa anajaribu kumuongezea mwanae ili akiondoka amuache mahala pazuri kisiasa!!!
matokeo yake si uliyaona??Mbona hata mpoki, joti, mchizi Mox na Irene Uwoya wakipewa iyo wizara hata urais mambo yataenda tu. Mbona Hayati aliweza urais?
Wewe unadhani alipata wapi fedha za kununua wachezaji ghali wale,akanunua yutong kwa mshahara upi?team mpaka ipate fisadi ndo ipande daraja?
Kwa sababu tupo hapa jf basi wacha tiishie hapoHakuna cha mzee wa msoga hapo.....maza anakwenda kivyake....ila anashukuru kwa maoni yao
Watakuwa wanajimaliza wao tu kama walivyo jimaliza kwenye issue ya covidtumepigwa pabaya mno
Ndiyo hivyo lkn huwezi kumlinganisha na mzaramo
Siyo rahisi kama unavyofikiriaWote wamezeeka waache sasa kuingilia mambo ya siasa wakae wacheze na wajukuu zao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1732]Nakumbuka alimgonga punda watu wakampa pole punda yeye wakamshushia spana kibao