Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

Hahaha... Tusubiri majibu atakayokuwa anatoa bungeni, labda mwendazake alimharibu reasoning yake akawa anacheza kufuata midundo yake
Kwa sasa itabidi akili zao walizo zikabidhi kwa chakubanga waende kuzidai maana huyu mama lazima atakuja kivyake
 
Sio rahisi kwasababu ya ufisadi wao wanaotaka kuuendeleza na pia hulka yao ya unafiki!!
Hiyo ipo hivyo tangu baba wa taifa alipo ondoka uongozini hawa waliobakia wanawekeza damu zao
 
Doroth Gwajima ana lipi jipya jamani? mbona huyu Maza kaanza kuvuruga?
 
Hiyo ipo hivyo tangu baba wa taifa alipo ondoka uongozini hawa waliobakia wanawekeza damu zao

Wanataka kuwekeza kwa damu zao lakini watoto wenyewe ndio hao wa kubebwa mpaka mbeleko inachanika!!! Hawana akili kichwani!!
 
Bila kuanza na porojo nyingi ngoja nijiingize kwenye mada.

Kwa siku chache zilizopita nafikiri mh. rais alianza vizuri lakini sasa naanza kupata mashaka kutokana na mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri.

Nilipigwa na butwaa hususan kumuweka mtu fulani (jina simtaji) kwenye wizara moja muhimu sana. Yaani katika watu wote amechaguliwa huyu!

Ingawa ni mapema lakini najiona nimeshaanza kukata tamaa.
 
Inasikitisha sana Mkuu. Baada ya madudu yao ya miaka mitano wengi tulitegemea wabadili mwelekeo lakini hawa wahuni hawataki kuelewa.
Mzee usitarajie jipya toka kwa ccm huko itakuwa nikujiongopea ccm ni majizi miaka nenda Rudi
 
Back
Top Bottom