JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hukuwepo kwenye kikao cha kumpigia kura 100%? Huyu ni sawa na JPM. Hata JPM alipata 100%. Mapacha.Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
MWAKA GANI VILEE ILINUNULIWA?Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Kweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana. Haeleweki, ni mzandiki!Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Umisahau na tatizo kuu lilomzuia MEKO kusafiri ni NGELI ni shida sana kwake.Wivu tu, Mwendazake alikuwa na Tatizo la Moyo sio kwamba alikuwa hapendi kusafiri.
Fikiria ule msafara wake wa magari zaidi mia moja na zote zina watu, zile gharama zake si ni zaidi ya ya Safari ya Ndege kwenda Kenya?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
Sukuma gang mna shida kwenye bongo zenu wallah!Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Kenya naona nao wameamua kupiga Tanzania. Wameamua kuachana na mambo ya Mask.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta...
Turichereweshwa sana.Jet Gulf Stream 50
Ndege Maalum Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ambayo Ilinunuliwa Na Hayati Mkapa Ipo ...