MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Naam, kwenye siasa za Maziwa Makuu na Utatuzi wa Migogoro nadhani kwasasa yeye ni moja kati ya wataalamu ambao wana uzoefu na uelewa mkubwa hapa nchini. Kibarua kikubwa ambacho anacho kwasasa ni kuhakikisha anatengeneza kizazi kipya cha wataalamu, maana kile cha zamani ndiyo kinaondoka hivyo.Huyu mama Liberatha ni mtu mmoja smart sana. Niliposikia tu amekuwa waziri nikaanza kusoma mahojiano yake huko Google na taasisi za kimataifa. She's very smart upstairs.
unamuwaza sana lissu alikufanyia nini kibayaJamani Lisu hata hajakumbukwa ubalozi wa ubelgiji?
Kweli!Mtu kuwa kiongozi Bongo ni kama kuwa mungu mtu. Nafasi za uongozi zinachukuliwa kama sehemu ya kujineemesha na kuwa mamlaka ya kutenda upendavyo. Ile dhana ya ya kuwa uongozi ni utumishi kwa watu haipo kabisa. Ndiyo maana watu wakipata nafasi ya uongozi wako radhi hata kujilidhalilisha ili tu wapendwe na aliyewateua. Kipindi cha nyuma kuna wakati China ilisema Afrika iko nyuma kwa sababu aina ya demokrasia inayofuatwa Afrika haiendeni na mazingira yake. Kuna ukweli fulani kwenye hili.
NDIYO, SHE DESERVESHadi Hoyce Temu!
Bashiru alinangwa kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Uteuzi wa kuwa Balozi hauna shida. Mtu yeyote anaweza kuwa Balozi.Mkuu watu walitoa mapovu Bashiru alipoteuliwa kuwa balozi na hadi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi haya sasa huyu Hoyce Temu nae kawa balozi nasubiri mapovu na sheria zinavyosema kama walivyomnanga mwendazake kwa Bashiru
Naona... Mabeyo ana umri gani?Kuna mtu atapandishwa kuwa Chief of staff na ndiye atakuja kuwa CDF
πππDaaah, noma sana mazee tena walianza kugongwa benchi baada ya Liberata kutimuliwa kipindi kile.
Walijifanya wanafanya kijisherehe cha kumuaga Jasusi Mbobezi, kumbe kuna mtu hapendi......
wanakwenda nchi gani sasaNaona mama kaamua kuisafisha ofisi yake kabisa. Yaani kawatoa kwelikweli.
Nimeona mpaka msaidizi wa Rais wa awamu ya nne.
Mkuu ubalozi sio balozi peke yake, ni timu.Wakati Nchi nyingine wanatuletea majasusi, sisi tunapeleka mlimbwende.
Kuna wanaoweka mpaka namba zao za simu.Kweli!
Manake hata humu ukimsifia kiongozi wa nchi unaambiwa eti unatafuta uteuzi!
Mimi niliambiwa mara kadhaa eti natafuta teuzi toka kwa Magufuli!
Hakunijua na sikumjua! Aje tu aniteue βNyani Ngabuβ toka JF kisa nimemsifia au nimemuunga mkono kwenye jambo?
Akili za watu wengine bana!!
What?Kuna wanaoweka mpaka namba zao za simu.
Amandla..
Eeeeh, kumbe unalifahamu hili.....πππ
Tafadhali Nyani. Tumetoka mbali.What?
Mtu anaweka namba yake ya simu mtandaoni anapomsifia kiongozi ili kiongozi huyo aione na ikimpendeza ampe uteuzi?
We Fundi hutaki uteuzi?
Yule dada anajitambuaHadi Hoyce Temu!
Wengi kwenye hiyo list ni wahaya mmmmm au sababu waziri Wa mambo ya nje ni muhaya?Hadi Hoyce Temu!
Nimeona hilo Mabeyo akistaafu tuNaona mama anasafisha na kupanga safu yake jeshini
Sasa mbona malalamiko? Mwambie jamaa ache kushangaa shangaa.Kwani kuna aliezaliwa mahsusi kuwa balozi? Nadhani ame meet vigezo vya mteuaji.
Ingekuwa unaweza kuweka attachment, wangeweka cv zao. People are desperate, Nyani.What?
Mtu anaweka namba yake ya simu mtandaoni anapomsifia kiongozi ili kiongozi huyo aione na ikimpendeza ampe uteuzi?
We Fundi hutaki uteuzi?
Kibao kimewageukia!! Mama anawapiga tu ngumi za uso! π¬π¬π¬πππ Team Jiwe hoi !