22 May 2021
Balozi mteule, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ / TPDF, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed .
Kutoka maktaba
2017
Pia kwa habari ya nyongeza kuhusu wasifu :
Kabla ya hapo mteule Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed Sirakwi alikuwa Mkuu wa Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (NDC).
12 Julai 2019
Video Source : UN News Kiswahili
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed
Amani na Usalama
Mkutano wa nchi zinazochangia vikosi vya ulinzi wa amani, TCCF, umekunja jamvi katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Mjini New York Marekani
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed ni miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo na akizungumza na UN News mara baada ya mkutano huo ameeleza kile walichokijadili katika mkutano huo wa siku mbili akisema, "mkutano huu ulikuwa unajadili mambo matatu, jambo la kwanza ilikuwa ni kuangalia namna matumizi ya teknolojia yanavyoweza kusaidia kulinda wanajeshi wetu waliko katika ulinzi wa amani na vilevile yanaweza kusaidia raia ambao wameathirika na mapigano. Ajenda ya pili ilikuwa ni kuangalia masuala ambayo yanahusu ushiriki wa wanawake kwenye ulinzi wa amani. Inaonekana kwamba kuna wanawake wachachache ambao wanashiriki kwenye ulinzi wa amani na wanasema kwamba wanawake wakiruhusiwa kwenye ulinzi wa amani kuna masuala ambayo wanayafanya vizuri zaidi kuliko wanaume hasa ukizingatia kwamba wengi wanaotthirika kwenye hivi vita ni wanawake na watoto. Kwa hivyo wanawake wako huru zaidi kuongea na wanawake wenzao na kueleza shida kuliko tulivyo sisi wanaume."
Aidha Luteni Jenerali Yacoub Mohamed anaeleza namna ambavyo Jeshi la Tanzania limenuia kuifikia asilimia 15 ya walinzi amani kuwa Wanawake kama inavyopendekezwa na Umoja wa Mataifa, "kwa mfano Tanzania tangu tumeanza ulinzi wa amani tumekuwa tunapeleka namba kubwa isipokuwa kuna maeneo mengine ambayo tunaona kwamba ni hatari zaidi yanahitaji nguvu zaidi kuliko mengine. Kwa mfano Lebanon, DRC, Darfur tunapeleka wanawake wengi sana. Na Afrika ya kati vilevile japokuwa si katika kile kiwango ambacho Umoja wa Mataifa wanataka kwa hivyo inatupasa sasa kuongeza, lakini vilevile hawalazimishi ifike asilia 15 kwasababu wanasema muangalie namna ya kuongeza wanawake katika ulinzi wa amani kulingana na sehemu huo ulinzi wa amani unakofanyika

Kumbukizi ya mwaka 2017Tanzania National Defense College chief Maj. Gen. Yacoub Hassan Mohamed Sirakwi
The 17-men delegation led by Tanzania National Defense College chief Maj. Gen. Yacoub Hassan Mohamed arrived in South Korea on Tuesday. The trip is aimed at boosting bilateral cooperation with South Korea's National Defense University. Source: 연합뉴스 | 국가기간뉴스통신사 2016
12 Julai 2019
Tunachangia sana walinzi wa amani na sasa tutaongeza idadi ya wanawake- Luteni Jenerali Yacoub Mohamed JWTZ