Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

22 May 2021
Balozi mteule, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ / TPDF, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed .





Kutoka maktaba
2017
Pia kwa habari ya nyongeza kuhusu wasifu :
Kabla ya hapo mteule Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed Sirakwi alikuwa Mkuu wa Chuo Cha Ulinzi wa Taifa (NDC).
Tanzania National Defense College chief Maj. Gen. Yacoub Hassan Mohamed Sirakwi
The 17-men delegation led by Tanzania National Defense College chief Maj. Gen. Yacoub Hassan Mohamed arrived in South Korea on Tuesday. The trip is aimed at boosting bilateral cooperation with South Korea's National Defense University. Source: 연합뉴스 | 국가기간뉴스통신사 2016
Kumbukizi ya mwaka 2017


12 Julai 2019

Tunachangia sana walinzi wa amani na sasa tutaongeza idadi ya wanawake- Luteni Jenerali Yacoub Mohamed JWTZ​


Video Source : UN News Kiswahili

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed
Amani na Usalama
Mkutano wa nchi zinazochangia vikosi vya ulinzi wa amani, TCCF, umekunja jamvi katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Mjini New York Marekani
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed ni miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo na akizungumza na UN News mara baada ya mkutano huo ameeleza kile walichokijadili katika mkutano huo wa siku mbili akisema, "mkutano huu ulikuwa unajadili mambo matatu, jambo la kwanza ilikuwa ni kuangalia namna matumizi ya teknolojia yanavyoweza kusaidia kulinda wanajeshi wetu waliko katika ulinzi wa amani na vilevile yanaweza kusaidia raia ambao wameathirika na mapigano. Ajenda ya pili ilikuwa ni kuangalia masuala ambayo yanahusu ushiriki wa wanawake kwenye ulinzi wa amani. Inaonekana kwamba kuna wanawake wachachache ambao wanashiriki kwenye ulinzi wa amani na wanasema kwamba wanawake wakiruhusiwa kwenye ulinzi wa amani kuna masuala ambayo wanayafanya vizuri zaidi kuliko wanaume hasa ukizingatia kwamba wengi wanaotthirika kwenye hivi vita ni wanawake na watoto. Kwa hivyo wanawake wako huru zaidi kuongea na wanawake wenzao na kueleza shida kuliko tulivyo sisi wanaume."
Aidha Luteni Jenerali Yacoub Mohamed anaeleza namna ambavyo Jeshi la Tanzania limenuia kuifikia asilimia 15 ya walinzi amani kuwa Wanawake kama inavyopendekezwa na Umoja wa Mataifa, "kwa mfano Tanzania tangu tumeanza ulinzi wa amani tumekuwa tunapeleka namba kubwa isipokuwa kuna maeneo mengine ambayo tunaona kwamba ni hatari zaidi yanahitaji nguvu zaidi kuliko mengine. Kwa mfano Lebanon, DRC, Darfur tunapeleka wanawake wengi sana. Na Afrika ya kati vilevile japokuwa si katika kile kiwango ambacho Umoja wa Mataifa wanataka kwa hivyo inatupasa sasa kuongeza, lakini vilevile hawalazimishi ifike asilia 15 kwasababu wanasema muangalie namna ya kuongeza wanawake katika ulinzi wa amani kulingana na sehemu huo ulinzi wa amani unakofanyika
 
Wengi kwenye hiyo list ni wahaya mmmmm au sababu waziri Wa mambo ya nje ni muhaya?

Anyway kanza yuko vizuri mno ila Ee Mungu mrehemu mtoto alikuwa vizuri kiakili kiafya na kila eneo yeyote aliyehusika kumharibia afya yake mtoto Wa watu Mungu anamuona .Na alaaniwe yeye na kizazi chake mbwa mkubwa
how many are they? wako wangapi jamani, something like 3
 
Huyu mama na Kikwete inaonekana kuna "connection" fulani, bado bandari ya Bagamoyo tumalize kukusanya ushahidi.
Haa 😆😅😄😃😂😁😀
Ccm Ni Ile Ile
Said Lugumi Wanasema Eti Hajui Kusoma Ila Angeteuliwa
 
Waganga Njaa mpo wengi mjin hapa,

Hata JK alishasema,nendeni kwenu mkalime,mtapiga ramli had lin??

Shauri zenu,huu mji mkubwa na una vituko,mkishangaa mafuta ya mgando yatawahusu oooh
Kwahiyo mkuu unataka kusema kuwa kipindi cha Mwendazake wasukuma wote walihama chattle wakajazana Dar na Dodoma kula keki ya taifa?

Kwahiyo sasa hivi inabidi warudi vijijini eti eeh?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa na kipindi chenel ten cha kusaidia watu wenye shida na matatizo mbalimbali.

Pia kwenye uchaguzi wa 2015 ndoa yake nadhani ilivunjika baada ya kukataa kumuunga mumewe mkono aliyekuwa anagombea jimbo la Mwanga kwa tiketi ya CHADEMA na yeye aliamua kumuunga mkono Magu. Hata hapa juzijuzi kuna mambo yalimsibu nadhani ndo kama kapewa pole.
Wee nae unachanganya madesa[emoji16][emoji16][emoji1787]

Huyu New Ambassador ni Hoyce sio Joyce Kiria

Kingine hiyo storee kumhusu huyo Joyce ni irrelevant

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Balozi mteule Mh. Elsie Sia Kanza



Toka Maktaba :
17 June 2017
Sept 2019
Elsie Sia Kanza on the impact of Fourth Industrial Revolution


The World Economic Forum on Africa kicks off in Cape Town on Wednesday under the theme "Shaping Inclusive Growth and Shared Futures in the Fourth Industrial Revolution." With the presence of business leaders and heads of state, the event will give South Africa the opportunity to promote itself and advance its aims of growing the economy. To tell us more, I'm joined by Elsie Kanza, Head of Africa at the World Economic Forum. She joins me now from our Sea Point studio in Cape Town ...
 
Sawa kwani mkuu aliekwambia lissu anategemea Siasa kuishi nani? ila pamoja na yote pia ni haki yako, yangu kuteuliwa so far unasifa ,Sasa naona teuzi za tz zimejikita kimtandao kwamba Alie kwenye mtandao alihali ana connection na anajulikana basi ulaji mpaka mwisho wa dunia tafadhali tuendelee na project
 
Man, punguza negativities...

Afadhali huyo Togolani angekuwa mzee ungesema kwamba "mtu keshazeeka bado anapewa kazi"!

Sasa hoja yako kwa hapo ni ipi hasa? Kwa sababu tu alikuwa msaidizi wa JK?!
Kuna watz wanazaliwa na roho mbaya dhidi ya wenye mafanikio, wakati wa magufuli watu walipata platform nzuri sana ya kuonesha hisia zao cha kichawi kwa watu waliowazidi uwezo.
 
Back
Top Bottom