Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Wakikamilisha Bandari ya Bagamoyo watakua wamepiga hatua Kubwa sana. Namuamini sana Kikwete. Ikibidi awe Mkuu wa Nchi kisha tuwe tunachagua wakuu wa serikali. Busara za JK ni za kiwango cha juu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo
 
You get my point! Huwezi kutoka kuwa Miss tanzania ukawa Balozi . Yeye anatakiwa aende huklo huko kweny umiss... Hivi ni University graduate? Form six inatosha anyway! Kizungu anakijua ama ni kama Jiwe...
Alikuwa Miss Tanzania Zaidi ya miaka ishirini kipindi cha Aspen king size,kwa Sasa ni mama mwenye umri wa miaka 42.Alafu ubalozi ajaanzaa leo,kuhusu lugha siyo issue mambo ya kawaida kwa former Miss,anabonga mpaka french,kizungu na kiswahili kwa rafudhi ya kichaga.
 
Kuna dhana 2 hapo amemuheshimu sana Mabeyo ( ndio alikataa kupindua meza) huenda wamepushana na msaidizi wake.....ingawa najua mama hapendi kutumbua wale wa imani moja nabyeye ukiona hivyo ujue chungu cha moto umeona hatq Ibuge na yule wa JKT....amewatoa sababu hawaendani na CDF...
Mkuu sidhani kama uko sahihi. CDF na CoS appointment zao zinaenda sambamba na utaratibu uliopo ni kwamba utumishi wao unadumu miaka 4 hadi watakapotimiza miaka 60 baada ya hapo wataendelea kwa ridhaa ya Amiri Jeshi Mkuu.

Kuhusu kutofautiana nalo sidhani kama lipo kwani Gen. Mabeyo na Gen. Mohamed " wamekulia" idara moja kwa muda mrefu na wanaelewana fika.

Redeployment ya Gen. Ibuge ni sawa tu kwa sababu ile nafasi inataka a career diplomat.
 
U-CDF asingeupata, kwa namna yoyote ile angeondoka tu na Mabeyo muda ukifika. Ila kama walivyosema wadau, Mabeyo must be on his way out.

Tovuti ya jeshi inasema Mabeyo kajiunga na jeshi mwaka 1979, maana yake amekuwa jeshini miaka 42 sasa. If you do the math, muda unaelekea ukingoni au umeshapita.
Mkuu uko sahihi!
 
Imekuwaje General Mohammed kuondpolea kutoka chief of staff? au kwa vile anakaribia umri wa kustaafu? General Mohammed ni kati ya maafisa wa jeshi wasomi sana tena ni mtu mahiri katika mambo ya ulinzi na usalama. Nadhani ataletwa kuwa Balozi wa Marekani

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Lt Gen YH Mohamed Akipokea ITHIBATI kutoka NACTE




Kutoka SKUA, Tukio zima Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Lt Gen Y.H Mohamed Akipokea ITHIBATI kutoka NACTE

Katika kuongeza Taaluma kwa Maafisa na Askari, Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga(SKUA) iliyoko Kange Jijini Tanga imepiga hatua kubwa sana katika nyanja ya Elimu, Mnamo Tarehe 07/09/2020.

Historia imeandikwa baada ya kufaniikiwa kupata ITHIBATI kutoka Mamlaka ya Kusimamia Elimu ya Ufundi Nchini NACTE, hii ina maana kuthibitishwa kutoa Elimu ya Ufundi wa Ndege kwa Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada ambapo Kundi la kwanza linatarajiwa Kuanza Mwezi October 2020.

Sherehe za Uzinduzi na Upokeaji Ithibati hio zilifanyika SKUA Jijini Tanga ambapo Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Afande Luteni Jenerali YH Mohamed alikuwa Mgeni Rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi.

Aidha Kaimu Mkuu wa Shule Brigedia Jenerali MN Mkeremy alifafanua namna ambavyo Shule (SKUA) imejipanga na kujizatiti kuendesha Kozi hio, “Tumejipanga vizuri na Tutaanza mwezi Octoba 2020 kwa Wanafunzi wachache na baadae tunategemea Kudahili Wanafunzi hata ambao sio Wanajeshi” Alisema Mkuu wa Shule.

Akihutubia Maafisa na Askari kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi,i Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Afande Luteni Jenerali YH Mohamed alitoa Shukrani kwa NACTE kwa kuwa na imani na Jeshi, aidha alitoa mwito kwa Shule Kujikita Kuzalisha Mafundi (Techicians) kulingana na hitajio kubwa lililopo kwa sasa Hata hivyo Mafanikio haya yote ya Upatikanaji wa Ithibati yamechagizwa na SKUA yenyewe kukamilisha baadhi ya Miundombinu muhimu kama Madarasa, Maabara na Ofisi, ingawa bado juhudi zinaendelea kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Jeshi ili kufikia viwango vya juu.
Source : Ulinzi Channel
 
Hivi kuteuliwa serikalini kibongo bongo ni dili eh?

Kweli mentality zipo tofauti sana.

Wakati baadhi yetu hatutaki kabisa kufanya kazi serikalini, wengine wanaona kufanya kazi serikalini ni zali!

Ndo maana mara nyingi wengine huwa hatuelewani kabisa humu!

I mean…ubalozi nao ni dili? 🤣
Nadhani sio dili sana au ni dili ikitegemea na aliyeteuliwa ila naona wanaorudishwa nyumbani nakupangiwa majukumu mengine huwa wanafuha zaidi.
 
Usilazimishe connection mkuu. Mimi kuna mtoto mmoja wa kigogo alikuwa rafiki yangu, I was treating her well, ila akadhani labda ninajitengenezea mazingira ya connection, nilimchana live nikamwambia mimi sina njaa kali kama unavyonidhania.
Kwa kufanya hivyo umepata faida gani mpaka sasa???!!!
 
Mange Aliwahi Kusema Kwamba Hyo HT Ni Lesbian Kakubuhu [emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo ni "mtu" wa nani? Hivi is she married? Sidhani kama ni kweli, lkn hawa ma Miss ni uzinzi, umalaya kwa wingi. Hizo U-miss ni tasnia za kukutana na wanaume maana ukishatangazwa, kila moja mwanaume mwenye hela anakutafuta, mfano mzuri ni Ntulabaliye na Mengi... wote wako hivyo.
 
Balozi Mteule NC Major Jenerali Richard Mutayoba Makanzo


Toka Maktaba:


10 March 2021

Waziri wa ulinzi Mh. Elias Kwandika akikaribishwa na NC Major General Richard Mutayoba Makanzo wa kamandi ya Wanamaji Navy.

Source : Ulinzi Channel
 
Hoyce hajatoka kwenye u-miss na kuwa balozi kwa sababu hadi hapa tunapoongea, amefanya mambo mengi nje ya masuala ya urembo na burudani kuliko mambo aliyofanya kwenye tasnia ya urembo!...
Kwani ukiwa miss/ mlimbwende baada hapo hautakiwi kufanya kazi nyingine au mtu yule ndio anakuwa ameharibika? huo ni mtazamo mbaya juu ya urembo, kwani urembo unatofauti gani na michezo mingine?
 
Nadhani sio dili sana au ni dili ikitegemea na aliyeteuliwa ila naona wanaorudishwa nyumbani nakupangiwa majukumu mengine huwa wanafuha zaidi.
Nchi yetu ni maskini. Ni nchi ya dunia ya tatu.

Kama ushawahi ishi nchi za nje na kuweza kwenda balozini, utajua kuwa hakuna cha kuula wala nini kwa wafanyakazi wa hizo balozi, unless labda wanafanya mambo yasiyo halali.

Na pengine hiyo ndo sababu au moja ya sababu ya hao ya kwa nini huwa unaona hao wanaorudishwa nyumbani na kupangiwa majukumu mengine, wanakuwa na furaha zaidi [kama nimekuelewa vizuri].
 
Back
Top Bottom