edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Kwasasa tupo awamu ya 4Naona mama kaamua kuisafisha ofisi yake kabisa. Yaani kawatoa kwelikweli.
Nimeona mpaka msaidizi wa Rais wa awamu ya nne.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa tupo awamu ya 4Naona mama kaamua kuisafisha ofisi yake kabisa. Yaani kawatoa kwelikweli.
Nimeona mpaka msaidizi wa Rais wa awamu ya nne.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UtopoloWakikamilisha Bandari ya Bagamoyo watakua wamepiga hatua Kubwa sana. Namuamini sana Kikwete. Ikibidi awe Mkuu wa Nchi kisha tuwe tunachagua wakuu wa serikali. Busara za JK ni za kiwango cha juu sana.
Nakwambia vijana wa foreign leo furaha waliyonao sio ya nchi hii.Nimewaona waliwekwa bench awamu iliopita,mbaya zaidi walikuwa vijana it's frustrating. Kuna mmoja atafika mbali sana siku ikifika nitakukumbusha.
Alikuwa Miss Tanzania Zaidi ya miaka ishirini kipindi cha Aspen king size,kwa Sasa ni mama mwenye umri wa miaka 42.Alafu ubalozi ajaanzaa leo,kuhusu lugha siyo issue mambo ya kawaida kwa former Miss,anabonga mpaka french,kizungu na kiswahili kwa rafudhi ya kichaga.You get my point! Huwezi kutoka kuwa Miss tanzania ukawa Balozi . Yeye anatakiwa aende huklo huko kweny umiss... Hivi ni University graduate? Form six inatosha anyway! Kizungu anakijua ama ni kama Jiwe...
Mawazo ya kiafrika bhana!!!Bora mwizi anaekuacha na wewe uibe ule na familia yako kuliko mwizi anaekuziba mdomo usile na kukufunga mikono usiibe na kukuua kabisa!!!
Dunia haina huruma...Paschal mayalla kakosa na huku pia, 😬😬😬
Binafsi, nasubiri uteuliwe nafasi yoyote, zaidi ya kuwa na hii ya JF miaka yote!Kwani ulitakaje?
Hiyo ina maana kubwa kwa wenye kutaka kujuwa.Team Kikwete waanza kuula , Mavula ndani .
Mkuu sidhani kama uko sahihi. CDF na CoS appointment zao zinaenda sambamba na utaratibu uliopo ni kwamba utumishi wao unadumu miaka 4 hadi watakapotimiza miaka 60 baada ya hapo wataendelea kwa ridhaa ya Amiri Jeshi Mkuu.Kuna dhana 2 hapo amemuheshimu sana Mabeyo ( ndio alikataa kupindua meza) huenda wamepushana na msaidizi wake.....ingawa najua mama hapendi kutumbua wale wa imani moja nabyeye ukiona hivyo ujue chungu cha moto umeona hatq Ibuge na yule wa JKT....amewatoa sababu hawaendani na CDF...
Mkuu uko sahihi!U-CDF asingeupata, kwa namna yoyote ile angeondoka tu na Mabeyo muda ukifika. Ila kama walivyosema wadau, Mabeyo must be on his way out.
Tovuti ya jeshi inasema Mabeyo kajiunga na jeshi mwaka 1979, maana yake amekuwa jeshini miaka 42 sasa. If you do the math, muda unaelekea ukingoni au umeshapita.
Imekuwaje General Mohammed kuondpolea kutoka chief of staff? au kwa vile anakaribia umri wa kustaafu? General Mohammed ni kati ya maafisa wa jeshi wasomi sana tena ni mtu mahiri katika mambo ya ulinzi na usalama. Nadhani ataletwa kuwa Balozi wa Marekani
Nadhani sio dili sana au ni dili ikitegemea na aliyeteuliwa ila naona wanaorudishwa nyumbani nakupangiwa majukumu mengine huwa wanafuha zaidi.Hivi kuteuliwa serikalini kibongo bongo ni dili eh?
Kweli mentality zipo tofauti sana.
Wakati baadhi yetu hatutaki kabisa kufanya kazi serikalini, wengine wanaona kufanya kazi serikalini ni zali!
Ndo maana mara nyingi wengine huwa hatuelewani kabisa humu!
I mean…ubalozi nao ni dili? 🤣
Kwa kufanya hivyo umepata faida gani mpaka sasa???!!!Usilazimishe connection mkuu. Mimi kuna mtoto mmoja wa kigogo alikuwa rafiki yangu, I was treating her well, ila akadhani labda ninajitengenezea mazingira ya connection, nilimchana live nikamwambia mimi sina njaa kali kama unavyonidhania.
Kwa hiyo ni "mtu" wa nani? Hivi is she married? Sidhani kama ni kweli, lkn hawa ma Miss ni uzinzi, umalaya kwa wingi. Hizo U-miss ni tasnia za kukutana na wanaume maana ukishatangazwa, kila moja mwanaume mwenye hela anakutafuta, mfano mzuri ni Ntulabaliye na Mengi... wote wako hivyo.Mange Aliwahi Kusema Kwamba Hyo HT Ni Lesbian Kakubuhu [emoji1787][emoji1787]
Kwani ulitakaje?
CV zao huwa ni vichekeshoHivi makada wa chama, makatibu wakuu wa chama mikoa, wajumbe wa kamati kuu n.k kwa nini hawapati hizi nafasi. au kazi yao ni kutumika tu?
Kwani ukiwa miss/ mlimbwende baada hapo hautakiwi kufanya kazi nyingine au mtu yule ndio anakuwa ameharibika? huo ni mtazamo mbaya juu ya urembo, kwani urembo unatofauti gani na michezo mingine?Hoyce hajatoka kwenye u-miss na kuwa balozi kwa sababu hadi hapa tunapoongea, amefanya mambo mengi nje ya masuala ya urembo na burudani kuliko mambo aliyofanya kwenye tasnia ya urembo!...
Nchi yetu ni maskini. Ni nchi ya dunia ya tatu.Nadhani sio dili sana au ni dili ikitegemea na aliyeteuliwa ila naona wanaorudishwa nyumbani nakupangiwa majukumu mengine huwa wanafuha zaidi.