Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Sasa
Mpango asingeweza kumgusa Dotto James. Ulitaka yamkute ya Nape dhidi ya Makonda?
Sasa kibao kimegueka, wa mwisho amekuwa wa kwanza na wa kwanza amekuwa wa mwisho
Itafahamika tu ya matrilioni yaliyoyeyuka mbele ya macho ya CAG Mussa yalienda wapi
 
sina mashaka na DR. Mpango, nilikuwa namkubali na ninaendelea kumkubali ni mtu anaye faa kabisa kuvaa Kiatu cha Umakamo wa RAIS kwa sababu ni;

1. Mchapakazi Hodari na Makini.

2. Mnyenyekevu na Mtiifu wa viwango vya hali ya juuu

3. Msomi mzuri aliye elimika na mzoefu

4. Mtu asiye na majivuno wala maringo.

5. Mcha Mungu

6. Mkweli si Mnafiki, fitina kwake mwiko.

7. Mpenda haki na mtetezi wa walio dhulumiwa.

8.

Jamani viongozi wengine mlio salia haswa mawaziri, wabunge na watendaji wengine jitahidini kuwa na hofu ya Mungu na waadilifu kama alivyo Dr. Mpango.

Dr. Mpango Hongera sana!
huu ni Mpango wa Mungu chapa kazi baba
 
Dah! Hii nchi ilipofika na wabongo tulivyo majizi hatukutakiwa kiongozi mstaarabu wala mpole kabisa.
 
Kwa mauwizi yanayoendelea mpango hana say kwa hawa wadhurumati
Wizi gani unafanyika ?, Serikali ya jpm kilikua na wizi wapi ? Mbona Kigogo anawapoteza sana,,,, walisema bashiru kachota hela akawekwa chini ya ulinzi wa j3sh mbna maombolezo yote alihudhulia
Mimi naamini wale ni team msoga kaz ni kupaka mavi serijali ya jpm ila Mungu anawaona
 
Dotto kwisha Habari yake. Na kule BOT Naibu Gavana mmoja ni huko Rwanda. Safisheni
 

KUNA SABABU GANI YA KUALIKUWA KWA SIFA YA U PROFFESOR NA KUONGEA MAMBO YA BIBLIA? SI ANGEITWA GWAJIMA?
 
Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.......wiki hii wahi chato kwenda kufunga mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…