Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Una akili kubwa sana mkuu! Hongera!Namkumbuka VP. Mpango alivokomaaga pale bandarini ili mkuu wa mkoa wa Dar wa zamani alipe kodi ya fenicha alizoingizaga toka nje. Mpaka JPM alipo ingilia kati. Daaa! hesabu za mama ni kali.